Tunatafuta mfanyakazi wa ofisini/office attendant

laurentie

Senior Member
Feb 24, 2012
162
225
tunatafuta msichana wa kazi ofisini awe na sifa zifuatazo
  • elimu ya kidato cha nne nakuendelea
  • awe msafi mtanashati /awe mwaminifu
  • awe anajua kusoma na kuandika
  • awe anajua kutumia computer,typing,word ,excel,power point and internet
  • akiwa na markting skils ina kua ni vizuri zaidi
  • awe mkazi wa arusha mjini
majukumu ni kama ifutavyo
  • kuwahi asubuhi na kufungua ofisi na kusafisha ofisi
  • kuwapokea wateja na kuwa hudumia kulingana na maelekezo utakayopewa na mwajiri
  • kuanda apoint ment ya mwajiri nakusimamia majukumu ya ofisi mwajiri akiwa ametoka
  • kuhakikisha ofisi inakua safi muda wote na kutekeleza majukumu yote utakaypoewa na muajoiri
mshahara utakua 150,000 na chakula cha mchana kitatolewa ,mwenye sifa tajwa hapo juu awasiliane kwa namba 0752773839
 

Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,609
2,000
Ntarudi
Naona huo mshahara sio rafiki kwa uyo mwajiriwa.....kazi za secretary hizo alaf kamshahara kadogo hivyo kweli mko serious??????
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
16,359
2,000
Acheni story mob mshahara huo kuna Wamalawi wametoka kwao wameufuata hapa, na kuna waTanzania wapo South kwa mshahara kama huo.

Tuache usista du na ubrazameni vijana wenzangu, tupendeze kimavazi tu siyo katika kupiga kazi.

Mtaeleweshana tu huko huko, labda utaomba muda wa kazi upunguzwe au ukiumwa wao wahusike na vitu kama hivyo
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
5,887
2,000
Mhhhhhh kwa mshahara huo na maisha haya mhhhh!!!!!
mkuu nafanya kazi ya ukarani tumbaku sehemu flani (nimejiegesha ) mshahara ni laki moja (hakuna posho wala malipo muda wa ziada )

nalinda tumbaku ya wakulima (belo moja linaenda had laki 3-4) huwa nacheka sana yawa waajiri kutoa mshahara mdogo alafu wanataka kufanyiwa kazi ya mamilioni.

wataibiwa kila siku na kumtafuta mchawi mshahara wa laki mpaka laki 2 kwa maisha ya sasa ni utani tu.
 

Pancras Suday

Verified Member
Jun 24, 2011
7,761
2,000
Hiyo tu kwanza job description ni ya kutisha halafu mshahara ndo 150k? Hebu kuwa serious, kama utatoa hata 300k nipo tayari kukuletea mdada hapo ofisini
 

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,348
2,000
Kuna watu wanadharau za ajabu kweli kweli, hivi house girl wa ki Tanzania analipwa shilingi ngapi? Kama sio maximum elfu 50 na kazi ni nyingi kuliko hizi! Hizi ni kazi ndogo sana na pia unaweza ongeza maarifa na connections zaidi unapo kuwa kwenye kazi kama hizi. Kupata kazi nzuri ukiwa na kazi ni rahisi kuliko kukaa bila kazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom