Tunatafuta mawakala wa kusambaza crank box toka pande zote za nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatafuta mawakala wa kusambaza crank box toka pande zote za nchi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by futikamba, Oct 5, 2010.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari JF,

  Napenda kuwajulisha kwamba tunatafuta mawakala kutoka pande zote za nchi kwa ajili ya kusambaza crank box.
  Crank Box ni jenereta ndogo ya mkono isiyotumia betri, mafuta ya taa/dizeli/petroli wala umeme wa jua/tanesco. Inatumia nishati yako (human power) kutengeneza umeme unaoweza kuwasha taa aina ya LED 3 kwa kuzungusha kwa muda wa dk 1 tu kisha kupata mwanga kwa:-
  • Saa 1 kama taa 3 zimeunganishwa
  • Saa 1.5 kama taa 2 zimeunganishwa &
  • Saa 2 kama taa 1 imeunganishwa.
  Faida zake ni:-
  1. Haina kabisa gharama za matumizi
  2. Ni ndogo & inabebeka
  3. Ni rafiki mzuri wa mazingira
  4. Waranti ya mwaka mmoja
  5. Tegemeo la maisha ni zaidi ya miaka 10
  Matumizi yake:-
  1. Shuleni kwa kujisomea
  2. Nyumbani kwa shunguhli ndogo ndogo
  3. Kambini
  4. Zahanati zisizokuwa na umeme.
  Kwa sasa tuna promosheni itakayoisha tar 30-Nov-2010. Bei ya promosheni ni TZS 15,000/= wakati bei ya halali ni TZS 35,000/=. Je si punguzo kubwa hilo!
  Tunawakaribisha wote wenye nia ya biashara na sisi.

  Tupo Mbezi Beach - Samaki karibia na hoteli ya Gates of Paradise.
  Unaweza kuwasiliana nasi pia kupitia 0715 997688/ 0785 997688.  keyholders.JPG
  CRANK BOX KWA MWANGA BORA NA WA KUDUMU...
   
 2. A

  Ashangedere Senior Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizo taa tatu zinaweza kuwekwa kwenye vyumba tofauti tofauti? yani kila taa na chumba chake?? je mwanga wake unatosha kuweka kama taa ya nje?? halafu baada ya hiyo dakika moja naweza kuchaji tena ikaendelea kupiga mzigo??
   
 3. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hi Ashangedere,
  Hizo taa zinafaa kutumika kwa kila chumba, lakini kwa nyumba kubwa za mijini taa hizi ni ndogo sana. Zimetengenezwa kukidhi mahitaji ya taa za watu wa vijijini au rather wale wanaotumia koroboi, kandili na mishumaa. uwezo wake ni wa kumulika chumba cha futi 10X10, haziwezi kutumika kama security lamps.
  Baada ya dk 1 ya kuchaji unaweza kupata mwanga kwa either masaa 2, 1.5 au 1. rejea maelezo yangu hapo juu.

  Nashukuru kwa ushirikiano wako..
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ZINA VIWANGO VYA TBS? ISIJE IKAWA NI MAMBO YA JING JUNG SHAUk
   
 5. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kiwango kabisa mkubwa...
   
 6. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio za kichina hizo mkuuu... ni product ya The Nedherlands!
   
 7. A

  Ashangedere Senior Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu baada ya hiyo saa moja ua mbili naweza kuchaji tena ikaendelea kupiga mzigo??
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbona swali hili Mkuu anaonekana kulikwepa?..ni mara ya 2 sasa hajibu!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hebu tuondoe utata kutoka 35,000.00 mpaka 15,000.00 punguzo la 250%
   
 10. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 11. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Firstlady,
  Hiyo 15,000 ni sawa na punguzo kwa 57% na siyo 250%.
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  unaweka namba za simu ukipigiwa hupokei, we vipi?
   
 13. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Samahani sana mkuu but somtimes nakuwa kwenye sehemu zenye matatizo ya network au pia kikaoni. Please usichoke kujaribu kwani nikiwa kwenye position ya kuongea vizuri, napokea simu.
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani wanajamvini akuna alojaribu hii kitu nafikiri kwa matatizo ya umeme wa tanzania vinatufaa kuwa nacho om kuepusha ajali za mishumaa na chemli jamani lakini ni kama wanavyoongea mana tatizo la wafanya biashara wa tz na wanapenda kuongea maelezo tofauti na kifaa wanakiongezea uwezo wa maneno ambayo mtengenezaji akuyaweka
   
Loading...