Tunatafuta madereva wa mabasi ya kati

Mtafiti Madini

Senior Member
Oct 12, 2013
101
35
Wadau ,

Tunatafuta madereva wawili wenye leseni na uwezo wa kuendesha mabasi ya kati (kama coaster).

Sifa
1. Wawe wanaishi ndani ya halmashauri ya temeke au ilala
2.Wawe na leseni husika na uzoefu wa kuendesha gari
3. Wawe wanajua vizuri gari
4. Wawe waaminifu na wakweli
5.wasiwe na historia ya kusababisha ajali

Utaratibu wa kazi na mshahara:
1. Gari ni za abiria
2. Dereva atalipwa siku aliyofanya kazi
3. malipo kwa siku ni kati ya 15,000/= na 20,000/=

Kama unafikiri unataka kazi na upo serious PM.
 
Wadau ,

Tunatafuta madereva wawili wenye leseni na uwezo wa kuendesha mabasi ya kati (kama coaster).

Sifa
1. Wawe wanaishi ndani ya halmashauri ya temeke au ilala
2.Wawe na leseni husika na uzoefu wa kuendesha gari
3. Wawe wanajua vizuri gari
4. Wawe waaminifu na wakweli
5.wasiwe na historia ya kusababisha ajali

Utaratibu wa kazi na mshahara:
1. Gari ni za abiria
2. Dereva atalipwa siku aliyofanya kazi
3. mshahara kwa siku ni kati ya 15,000/= na 20,000/=

Kama unafikiri unataka kazi na upo serious PM.
Unajua maana ya Mshahara?
 
2.Wawe na leseni husika na uzoefu wa kuendesha gari
5.wasiwe na historia ya kusababisha ajali

Mkuu hapo ndipo pa kuzingatia sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom