Tunashukuru ndege yetu imerudi, ila psychological disorder waliyonayo baadhi ya watu kutaka mambo mabaya yaikumbe tanzania ni janga la taifa

Mimi ungekuja na bandiko "Mahakama kuzuiya ndege, nini kinasababisha watz kukosa uzalendo" ukawekeza katika kujua sababu za watz kukosa uzalendo ningekuona wa maana sana. Mambo haya kaka hayaji hivi hivi kama unavyodhani, ila ni chuki za watu kwa matendo yanayofanywa na watwala, roma haikujengwa siku moja, taratibu unakoleza moto taratiiibu kisha unawake moto mkubwa.
 
Back
Top Bottom