Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani sasa ni miaka 30 tangu Nyerere aondoke madarakani bado tunalia makosa yake. Nyerere amekufa tunasubiri afufuke aje kurekebisha alipokosea?
Mara kadhaa najiuliza baada ya Nyerere hatujawahi kupata Marais wengine. Kwa nini hawakusahihisha makosa ya Nyerere kwani wao hawakukosea chochote?
Pia watoto wetu ni wadadisi, tunapofundisha dini, tusiwatishe kwa maelezo ya uongo. watataka kujaribu kuona ukweli wake ukoje? Yule mtoto alichofanya si kudharau kitabu kitakatifu, alijaribu kuona ukweli ukoje.
wale waburundi waliongea kwa uchungu na kwa huzuni sana kana kwamba nchi ni yao
Hii hali sasa ni tete kweli, nilikuwa najenga nyumba yangu hapa Dar nimeamua kuacha kuendelea na ujenzi kwa sababu nimegundua siku sio nyingi watanzania tutakuwa wakimbizi. Sijui watanzania tukiwa wakimbizi tutakimbilia wapi?hakuna nchi inayotuzunguka ambayo inaweza kuubeba mzigo huu.
Hali hii nadhani inamhusu mtu yeyote mzawa wa Tanzania ukiachilia hao akina Farid na Ponda ambao tumeelezwa sio wazawa, Farid ni Myemen na Ponda ni Mkongo sasa wao wanauchungu gani wakati ndugu zao hawako hapa, nyumba,mashamba na mali zao haziko hapa, mashemeji,mashangazi na wazazi wao hawako hapa.
Ndugu zangu watanzania tuamke, tujitambue kwamba tusitumiwe na mamluki hawa kwa sababu yoyote ile. Sababu ya kuhatarisha amani yetu haiwezi kuwa kubwa kwani ni akili zetu ndio zinazokuza haya pamoja na uchochezi wa mamluki.
Serikali hii tuliyoiweka madarakani tunaiambia kudumisha usalama wa nchi hii mlioukuta muulinde, hili sio ombi imeelezwa kwenye katiba iliyowaweka madarakani.
mwezi huu mwanangu mdogo wa miaka 6 yuko darasa la pili amekuwa anakutana na matukio ya vurugu za nchi za kiarabu na sasa Tanzania kwenye TV aliniuliza swali hili????
Dad, Muslim are bad people?????
Aliweza kubaini kwa sababu anajua kiingereza na kiswahili na mavazi ya watu wanaoonekana kwenye matukio hayo.
Hii ndio changamoto tulionayo katika kuiweka jamii yetu salama.
Mtoto wako anaongea kiingereza?...Sio lazima kuandika uwongo.
JAMANI naomba mnijuze. Aliyekwenda kuleta hiyo Qua'rn ikakojolewa alikuwa Mkristu au Muislam? Kama ni Mkristu aliipata wapi? na kama ni Muislam alileta alifanywa nini? Mwenye kosa zaidi ni aliyeileta akiwa anaijua fika ni kitabu kitakatifu au aliyeikojolea bila kuifahamu? Mbona HUKUMU inakuwa ni ya upande mmoja?Pia watoto wetu ni wadadisi, tunapofundisha dini, tusiwatishe kwa maelezo ya uongo. watataka kujaribu kuona ukweli wake ukoje? Yule mtoto alichofanya si kudharau kitabu kitakatifu, alijaribu kuona ukweli ukoje.
(kwa sasa baada ya ile experiment ya 'kukojolea' kufeili, wengine wanawadanganya watoto ktk madrasa, eti ukinyea quoran lazima utakuwa 'chizi au paka au mende'..... Kwa mtaji huu, sipati picha mtoto atakayejitokeza kuinyea, itakuwa je!!!!!)
Mtoto aliyekojolea kitabu alikipata wapi? na ni nani aliyemuambia akojilee?
MWENYE KOSA KUBWA SANA NA WAKUTAFUTWA NI ALIYESEMA UKIKIKOJOLEA UTAGEUKA.... NA KUKITOA ILI KIKOJOLEWE. JE ALIKITOA ALITOKA DINI GANI?.
NAKUBALI YA KUWA ALIYEKIKOJOLEA ALIFANYA MAKOSA. PIA TUANGALIE UPANDE MWINGINE WA SHILINGI YA KUWA PIA ALIYEKITOA KITABU PIA ALIKUWA NA MAKOSA TENA MAKUBWA SANA. NA SIJUI ALITUMWA NA NANI?