Tunashirikiana kila kitu lakini hataki kufanya mapenzi

King0188

Member
Apr 21, 2016
6
2
Habari wadau,

Nina urafiki na binti mmoja yapata mda sasa na tunashirikiana vitu vyote vya kimapenzi lakini inapofikia swala la kufanya mapenzi anaruka hatari.

Nilishaamua mpaka kutembea na rafiki yake na yeye akachukia na baadae akaniambia amenisamehe. Ila Tabia yake ni ile ile ile, nimfanyaje?
 
Habari wadau
Nina urafiki na binti mmoja yapata mda sasa na tunashilikiana vitu vyote vya kimapenzi lakini inapofikia swala la kufanya mapenzu anaruka hatari.

Nilishaamua mpaka kutembea na rafiki yake na yeye akachukia na badae akaniambia amenisamehe Ila Tabia yake ni ile ile ile.nimfanyaje
Mkuu believe me kuna wanawake wachache sana wenye misimamo mikali kama huyo hakupi mpaka uoe anaweza kuwa anakupenda kweli ila anajua akikuonjesha tu utazoea na kumuona wa kawaida hivyo hutoona umuhimu wa kumuoa haraka kwa hiyo ni technique
 
Unafikiri kila mtu ni wa kuchezea? Fanya taratibu uoe uone kama utanyimwa papuchi.
umefanya utafiti na kuleta ushaidi kwa mtu mchoyo (greedpersonal )kuwa ukitenda wema ndo anakusadia,?

hahaahah ..apao ndo napingana na psychologist (behaviourist)that environment change behaviour. nakubalina na nyerere aliye zoea kula nyama ya binadamu ataendelea tu .
mkuu endelea upande huo huo hyo npe namba zake nmpgie
 
Kiswahili ni kigumu na pia kirahisi inategemea maana ya neno unalienable kwa wakati gani na sehemu gani
 
huyo hutakiwi kumuomba mechi mkuu..
muite gheto tu kupiga story then mbadilikie unapiga papuchi vizuri tu..
ila madhara ya hii ni usipomridhisha atakuchukia na urafiki wenu utaishia hapo hapo
ila ukipiga mechi vizuri mwenyewe ataomba marudiano
hakuna asiyependa mgegedo mkuu
 
huyo hutakiwi kumuomba mechi mkuu..
muite gheto tu kupiga story then mbadilikie unapiga papuchi vizuri tu..
ila madhara ya hii ni usipomridhisha atakuchukia na urafiki wenu utaishia hapo hapo
ila ukipiga mechi vizuri mwenyewe ataomba marudiano
hakuna asiyependa mgegedo mkuu
Hii ni njia bora na huwa naitumia
 
Ukiomba gemu anasemaje? Kama hataki kutakuwa na mwingine anampa alafu anataka ww ndio uje kuwa mume ,sasa hajui usawa wa sasa wanaume hawatakahi UJIUNGA wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Theory ipo hivi, ukiona wew unanyimwa jua kuna mwengine anapewa kirahisi isitoshe analazimishiwa.Tafakari na uchukue hatua.
 
Tafuta rafiki ake mwengine mle then uombe msamaha kama kawaida mpaka atakapokupa
 
vitoto vya kiume vya aina yako viko vichache sana...... na tunategemea kuviangamiza kabisa ifikapo 2020...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom