Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

Na ukatiri wake ni kitu gani hasa cha maana alichokifanya?zaidi ya kuleta maafa tu kwa wananchi!!Eti mwananchi kulalamika maisha magumu nalo ni kosa akamatwe!!!ndugu akipotea eti ukitoa taarifa polisi na wewe ukamatwe!!tunachoweza kusema MUNGU FUNDI
Kuwanyosha wahuni wenzako serikalini na wauza ngada wa msoga
 
Kama unakumbukumbu vizuri, Hiki suala Kila Mtanzania alilipinga, Mashirika haya yalijaa Undugu , mtoto wa Boss, mtoto wa Mjomba .

Mashirika yalijaza watu wasokua na weledi, watu mambumbu ,watu walisoma Kwa kufelifeli ila chapchap ili mradi wawahi Baba zao ,wajomba zao kwenye shirika Fulani.

Nakumbuka, HAYATI JPM, aliwahi amuru Shirika Fulani, lifute Ajira zote walokua wameshawapa Ndugu zao, na kuamuru mchakato uanzs upya.

Unaturudisha kulekule ambako tumetoka, kule ambako Rushwa ilitamalaki ili upate Ajira huku ukabila na udini ukiendelea .

TAMISEMI nao ndo Hawa!

Watanzania ni wazi, tuna Kila sababu ya Kumuombea na kumshukuru Hatari JPM

Picha iliopo Sasa nikua, yale yote yalikua wakati wa uongozi wa "Msoga" ,ndio yanarudi Sasa.

Hivi Kweli, Baba, JPM , asingejitutumua , tungekua na Daraja la JPM? SGR, ? JNHEPP, MELI MPYA KADHAA, , NDEGE, ELIMU BURE , UPANUZI WA VIWANJA VYA NDEGE., MADARAJA KILA KONA..

Ukweli ni kwamba Kwa stahili hii, kusingekuwepo na hata Moja, kinachofanyika Sasa, ni watu kua na aibu Kwa khogopa he miradi hii ikifeli, itakuaje? Hatutaonekana tumeshindwa?

Mwenye mradi Mpya alouanzisha Samia Kwa miaka yake miwili hii anijuze, naona kama tunajiendea endea.
 
hahaaaa!!!sasa yupo wapi hao wahuni ndio sasa wanawanyoosha kundi la washamba lililokuwa limepewa nchi!!!WANAKWAMBIA "BORN HERE HERE,DEAD HERE HERE"
Sasa wananchi tuna amani sana licha ya maisha kuwa magumu.
Njaa na Amani havikai pamoja.
 
Raisi wetu hajawahi pata adhaa yeyote kuhusu ajira, nadhani hajawahi hata fanya interview mana kila kitu kwake imekua ni utelezi (Baraka).
Anazani ni wote wanapita kweny huo mnyororo.

It's ok wacha wafanye wajuavyo sie tisubr Karma .
 
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote...
Nchi yetu Tz, unahitaji Katiba mpya na yenye kukulinda, mtu yeyote asiichezee, na asiwachezee wananchi na mali za nchi.

Sasa rais mwenyewe, anafanya mabadiliko katika wizara, anamtoa waziri na katibu mkuu wake, kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Ikifanyika uchunguzi, nakuhakikishia hapo kama hakuna vinasaba vya undugu (ukabila), basi ni imani (udini), na zaidi maslahi binafsi (wizi).
 
Shule za bweni, Form 4 au form 6 wanapokaribia kumaliza shule (kufanya mtihani wa mwisho), kwenye kikao cha shule hutoa mapendekezo ya ajabu yanayowabana wanafunzi sababu wanajua utekelezaji wa hayo mambo hautawagusa wao, watakuwa wapo makwao.
 
Sasa wameambiwa waajiri sasa wafanyaje????
Labda itungwe sheria wahaya au wachaga au bosi asiajiri watu wa kabila lake hata akiwa na sifa
Mbona umetaja makabila ya Wachaga na Wahaya.Wenzenu wakati wanasomesha watoto wao nyie mlikuwa mnakataa shule ili mchunge ng'ombe halafu na kutambiana kuoa wake wengi na pia kuendekeza uchawi
 
Wabongo sijui nini mnataka yaani. Wakati ajira zinatoka utumishi malalamiko kila siku jinsi kulivyo na urasimu na kupotezeana muda/nauli sasa mchakato umeeahisishwa malalamiko tena!

Hivi nini mfanyiwe muwe na shukurani wazee?

Hivi unadhani utumishi ndio hakukuwa na ndugunaizesheni? Pole Sana
Yaani watu sijui wakoje. Hata hiyo dhana ya kuweka ndugu si tatizo kubwa kiasi hicho. Maana maamlaka zitafuatalia na hakuna mtu ataweza kuhamishia ukoo wake sehemu ya kazi.

Nchi hii ni kubwa, kuweka swala la ajira mikononi mwa chombo kimoja kwa kweli si sawa.

Nakubaliana na mama 100%
 
Huyu mama ni mpinga maendeleo 'reactionary'. Baada ya kuwarudisha wahuni kazini sasa anawarudishia uwezo kuajiri watu wao kwenye mashirika.

Tulifikia hapo baada ya kuona upendeleo kwenye ajira. Ceo muislamu amejaza waisilamu watupu dini zongine marufuku. Ceo kabila fulani anajaza kabila yake tu.

Kama ni ushauri mama anapenda ushauri wa ovyo. Kinachotakiwa ni marekebisha na kuimarisha utaratibu uliopo tu sio kurejesha shughuli ya kuajiri kwa mashirika.
 
Zinarudi enzi za TRA- kujaza Wachaga kana kwamba makabila mengine hakuna wanaokidhi vigezo. Mwaibula na watu wake wa Iringa pia aliwajaza sehemu fulani.
 
Kwanini anateleza aise katika hili kateleza sana, hajui kwamba anatengeneza mazingira ya bias?

Mambo mengine sijui Nani anamshauri aise duuuuuuuhhhhh, nchi ngumu sana hii. Mama hawa watanzania sio wazungu ni mchanganyiko wa watanganyika na wanzanzibar.

Hawa watu uliowapa Uhuru wa kutoa ajira ni wa afilika na unazijua wazi tabia za wa afilika .tumekueleA mapemaaaa.
 
Kama unakumbukumbu vizuri, Hiki suala Kila Mtanzania alilipinga, Mashirika haya yalijaa Undugu , mtoto wa Boss, mtoto wa Mjomba .

Mashirika yalijaza watu wasokua na weledi, watu mambumbu ,watu walisoma Kwa kufelifeli ila chapchap ili mradi wawahi Baba zao ,wajomba zao kwenye shirika Fulani.

Nakumbuka, HAYATI JPM, aliwahi amuru Shirika Fulani, lifute Ajira zote walokua wameshawapa Ndugu zao, na kuamuru mchakato uanzs upya.

Unaturudisha kulekule ambako tumetoka, kule ambako Rushwa ilitamalaki ili upate Ajira huku ukabila na udini ukiendelea .

TAMISEMI nao ndo Hawa!

Watanzania ni wazi, tuna Kila sababu ya Kumuombea na kumshukuru Hatari JPM

Picha iliopo Sasa nikua, yale yote yalikua wakati wa uongozi wa "Msoga" ,ndio yanarudi Sasa.

Hivi Kweli, Baba, JPM , asingejitutumua , tungekua na Daraja la JPM? SGR, ? JNHEPP, MELI MPYA KADHAA, , NDEGE, ELIMU BURE , UPANUZI WA VIWANJA VYA NDEGE., MADARAJA KILA KONA..

Ukweli ni kwamba Kwa stahili hii, kusingekuwepo na hata Moja, kinachofanyika Sasa, ni watu kua na aibu Kwa khogopa he miradi hii ikifeli, itakuaje? Hatutaonekana tumeshindwa?

Mwenye mradi Mpya alouanzisha Samia Kwa miaka yake miwili hii anijuze, naona kama tunajiendea endea.
Saa 100 mwenyewe ana elimu ya kuunga unga unategemea nini
 
Back
Top Bottom