Gharama nikama 3.5M
Japo kama utaweza kwakutumia local material gharama ninafuu japo itakucost muda
Anhaa sawa mkuu unaweza tusaidia kamchanganuo kidogoMkuu hii biashara mtaji unaohitahitajika kwa kuanzia ni kama sh ngapi nataka niijaribu hapa mbeya
Oky. Mchanganuo ni kama hivi.Naomba kujua gharama za heat press machine mdau na zinapatikana wapi kwa hapa bongo?