Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,496
- 41,004
Hili genge la low IQ waliopelekwa huko Bungeni, unaliita nalo ni Bunge? Nani aliwachagua? Hata ndani ya CCM, hao waliopo huko, robo tatu hawakuchaguliwa na wajumbe ambao ni wawakilishi wa wananchama wa CCM.Haya mambo hayaendi kwa utashi wala hisia, bunge (wananchi) wamejadili kwa kujiridhisha na kuipitisha.
Bahati nzuri ilikuwa hoja ya mbunge, wala halikuwa wazo la serikali. Wabunge kazi yao, pamoja na mambo mengine…. ni kuishauri serikali.
Marehemu alipenda kufanya kazi na watu wenye low IQ, wanafiki, ambao hawakuwa na uwezo wa kuhoji wala kukosoa, na hao ndio waliojaa huko bungeni, wakijiita wabunge. Watu wa namna hiyo wanaweza kufikiri na kuamua chochote kinachohitaji uelewa na akili?