Kwani CCM hawatozwi?
Utakuwa una ufinyu mkubwa wa akili. Kodi ambayo inongeza gharama za maisha ya kila siku ya Watanzania huku mishahara ikiwa haijaongezwa kwa miaka sita na wengi wakiwa hawana ajira unaona ni kitu kidogo!?
Haya mambo hayaendi kwa utashi wala hisia, bunge (wananchi) wamejadili kwa kujiridhisha na kuipitisha.
Bahati nzuri ilikuwa hoja ya mbunge, wala halikuwa wazo la serikali. Wabunge kazi yao, pamoja na mambo mengine…. ni kuishauri serikali.
Bwashee kutoa macho hakutobadili chochote, hatuna serikali zaidi ya hii unayoiita haramu…. tutii mamlaka na tuache zifanye waliyotuahidi.
kama hajipangii kwanini mnatupangaiaRais hajipangii hayo.
Sasa hii kulialia ni hadi lini? Kama ni haramu mbona unaiomba itende mema!
Tuweni siriazi japo kidogo tafadhali.
Hopeless!!Ndugu zangu!
It’s too much of pity issues. Imagine kama Taifa tunapiga kelele kupinga tozo za miamala! Jamani?
Uzalendo uko wapi?
Imeshatolewa ufafanuzi kuhusu dhamira ya serikali kukusanya mapato hayo, lakini bado ni kelele ambazo tunajua kabisa hazina faida yoyote.
Bunge limeshapitisha, haikuhitaji mawazo ya kila mwananchi. Na haiwezi kufutwa kwa utaratibu huu, sasa ni nini hiki?
Kama una mawazo mbadala yenye tija basi kuna namna ya kuyawasilisha ili kusaidia vyanzo vya mapato kwa serikali yetu sikivu.
Hebu tuweni siriazi ndugu zangu, kodi ni kwa maendeleo ya Taifa lolote huru.
Kwa kupenda kujadili matukio kila siku litaibuka jipya ili turukie, hakuna lililowahi kufika mwisho.
Inatosha.
Wewe ndiyo kuwa serious acha kuandika ujinga wako kutaka kuminya uhuru na haki ya Watanzania kuikosoa hii Serikali haramu inapofanya maamuzi ya hovyo. Haki na uhuru ambao uko ndani ya katiba. Wewe nani nchi hii hadi utake kuzuia uhuru na haki hizo za Watanzania!?
Uhuru ni haki yetu, basi tuutumie vema. Tujadili mambo yenye tija.
Ndugu zangu!
It’s too much of pity issues. Imagine kama Taifa tunapiga kelele kupinga tozo za miamala! Jamani?
Uzalendo uko wapi?
Imeshatolewa ufafanuzi kuhusu dhamira ya serikali kukusanya mapato hayo, lakini bado ni kelele ambazo tunajua kabisa hazina faida yoyote.
Bunge limeshapitisha, haikuhitaji mawazo ya kila mwananchi. Na haiwezi kufutwa kwa utaratibu huu, sasa ni nini hiki?
Kama una mawazo mbadala yenye tija basi kuna namna ya kuyawasilisha ili kusaidia vyanzo vya mapato kwa serikali yetu sikivu.
Hebu tuweni siriazi ndugu zangu, kodi ni kwa maendeleo ya Taifa lolote huru.
Kwa kupenda kujadili matukio kila siku litaibuka jipya ili turukie, hakuna lililowahi kufika mwisho.
Inatosha.
Wewe ni mmoja Kati ya wizara kaa Kimia,Ndugu zangu!