Tunapoteza mapato mengi kwenye faini za barabarani, tuongeze mashine za EFD kwa nguvu zote

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,582
Kwa wale wahusika ukitaka kujua n sh ngapi tunapoteza mapato ya serkl via traffic wabararani Basi simam walipo uone

Wazo tu kwa wahusika wakubwa kabisa tunaomba muwe kitu kimoja NA MH RAIS DK JPM Tunaitaji kodi kila sehemu tunaitaji pesa nchi ijiendeshe kwamaana hioo

Tunaomba muongeze efd machine NA wanachi wakatazwe kabisa kulipa KWENYE makaratasi..kama mnahimiza wananchi watumie efd resit wanapotoa malipo Basi naomba mfano uanzie kwa matraffic .

Otherwise njoon hapa MAWASILIANO ndio mtajua ninachosema

Kila la kheri NA jmosi njema
 
Shikamooo AWADH...HUYU JAMAA NAMPENDA SANAA APINDI ANAYOOSHAA NAONA KAJA BUCHA HAPA KAKUTA TORORIRO KASHUSHA DEREVA KAONDOKA NAE SHIKAMOO TENA
 
Mkuu Pdidy waziri Mpango aliliongelea hilo katika hotuba yake ya bajeti la hizo tozo zisizo katika mfumo rasmi wa TRA na akasema zote hizo tozo na zile za kodi ya pango na car parks zinaingizwa kwenye mfumo rasmi wa kodi wa serikali.

Hizo tozo zilikuwa zikiingizwa kwenye mifuko ya ama traffic au halmashauri na zisionekane zimetumika vipi.
 
Hongera Waziri Mpango, Tanzania lazima ijitegemee kwa mapato yake yenyewe.
 
Kwa wale wahusika ukitaka kujua n sh ngapi tunapoteza mapato ya serkl via traffic wabararani Basi simam walipo uone

Wazo tu kwa wahusika wakubwa kabisa tunaomba muwe kitu kimoja NA MH RAIS DK JPM Tunaitaji kodi kila sehemu tunaitaji pesa nchi ijiendeshe kwamaana hioo

Tunaomba muongeze efd machine NA wanachi wakatazwe kabisa kulipa KWENYE makaratasi..kama mnahimiza wananchi watumie efd resit wanapotoa malipo Basi naomba mfano uanzie kwa matraffic .

Otherwise njoon hapa MAWASILIANO ndio mtajua ninachosema

Kila la kheri NA jmosi njema

Pamoja na kwamba huwa hatukuelewi sana uandishi wako, mada yako ya leo ni nzuri na kwa maoni yangu kwanza nakuunga mkono. Sasa kuna pande mbili za shilingi, kuna upande wa madereva wenye makosa ambao hupenda kutoa rushwa ili waachiwe, hao hawako tayari kulipia kwenye machine, wakiambiwa kitabu wanaitikia fasta.
Upande wa pili na ambao sijui sana dawa yake itapatikanaje, ni upande ambao dreva ana kosa ila sio la kukusudia ni la kuhitaji msaada wa maelekezo kutoka kwa askari, jamaa huwa hawana hiyo term ya kuelekeza au kusaidia, tena afadhali wangekulipisha ili kodi hiyo iende serikalini, wanakukomalia ukate za kitabu, ukiwa mwepesi wanakula.
Na upande mwingine baadhi ya askari ni wasingiziaji wazuri hasa wanapofikiria kupunguza matatizo yao, hujakosa anakukomalia kuwa umetenda kosa, na hapo hata uende wapi, so long ni polisi mwenye haki yeye hawakusikilizi wote wanataka wakupunge, hata kama kuna shahidi wanadai wanaongea na dereva hawamsikilizi mtu mwingine. Hapo tena mwoga ataingia kingi atawapa mshiko.
Ila wakitukuta kama sisi wengine shilingi sitoi, zaidi wakate tu ya mashine iende serikalini, tabu tu itakuja kwenye eneo la kuhesabiwa makosa unaweza kukuta unafungiwa leseni bila sababu ya msingi.
 
Kabla ya matumizi ya efd mwishoni mwa mwaka jana trafiki walikuwa wakikusanya karibia billion mbili kwenye faini za barabarani. Najaribu kuangalia jinsi walivyojipanga sasa nchi nzima ukilinganisha na ile habari ya gazeti moja kuwa wamepangiwa kila mmoja akamate si magari kumi kwa siku basi ni wazi watakuwa wamefikia kwenye billion 5 kwa mwezi.
Ukikokotoa vizuri hapo billion 5 x 15 = 60 billion. Haya ni mapato makubwa sana kuzidi hata bajeti za baadhi ya wizara.
Swali ni je, mapato yote yanakusanywa kweli na pia makosa yanafanyika kweli au ndio madereva wanachangishwa kama michango ya mwenge!?
 
Mkuu Pdidy waziri Mpango aliliongelea hilo katika hotuba yake ya bajeti la hizo tozo zisizo katika mfumo rasmi wa TRA na akasema zote hizo tozo na zile za kodi ya pango na car parks zinaingizwa kwenye mfumo rasmi wa kodi wa serikali.

Hizo tozo zilikuwa zikiingizwa kwenye mifuko ya ama traffic au halmashauri na zisionekane zimetumika vipi.
Mkuu Richard itapendesza sana ingawa wapo wasiotaka hili tufike wakati tuwasimamie tuweke NA takukuru kila.kitu o cha traffic mkuu maana halisishwari kabisaa ....unashangaa ukienda moshi njian wanasimamisha Basi wanalazimisha vitabu vyao vya 2009-2011 huu n uhuni tukatae wananchi wapewesomo lakulipa KWENYE efd mashine
 
Pamoja na kwamba huwa hatukuelewi sana uandishi wako, mada yako ya leo ni nzuri na kwa maoni yangu kwanza nakuunga mkono. Sasa kuna pande mbili za shilingi, kuna upande wa madereva wenye makosa ambao hupenda kutoa rushwa ili waachiwe, hao hawako tayari kulipia kwenye machine, wakiambiwa kitabu wanaitikia fasta.
Upande wa pili na ambao sijui sana dawa yake itapatikanaje, ni upande ambao dreva ana kosa ila sio la kukusudia ni la kuhitaji msaada wa maelekezo kutoka kwa askari, jamaa huwa hawana hiyo term ya kuelekeza au kusaidia, tena afadhali wangekulipisha ili kodi hiyo iende serikalini, wanakukomalia ukate za kitabu, ukiwa mwepesi wanakula.
Na upande mwingine baadhi ya askari ni wasingiziaji wazuri hasa wanapofikiria kupunguza matatizo yao, hujakosa anakukomalia kuwa umetenda kosa, na hapo hata uende wapi, so long ni polisi mwenye haki yeye hawakusikilizi wote wanataka wakupunge, hata kama kuna shahidi wanadai wanaongea na dereva hawamsikilizi mtu mwingine. Hapo tena mwoga ataingia kingi atawapa mshiko.
Ila wakitukuta kama sisi wengine shilingi sitoi, zaidi wakate tu ya mashine iende serikalini, tabu tu itakuja kwenye eneo la kuhesabiwa makosa unaweza kukuta unafungiwa leseni bila sababu ya msingi.

Hii dawa yake ni dereva mwenye makosa kupewa wiki moja au mbili kwenda mwenyewe kulipa faini katika ofisi ya TRA iliyopo katika wilaya yake.

Hivyo huyo Traffic anakuandikia slip ya penalty ya kosa lako na kiasi unachotakiwa kulipa na yeye anabaki na copy.

Wewe anakupa hard copy ya kwenda kulipa na ukiishalipa kule TRA wao wanakupa stakabadhi ya malipo ya faini na mchezo umekwisha, traffic hajapata mshiko na pesa imeingia serikalini.

Ni mfumo tu mdogo kama huu unaweza kumaliza hizi rushwa na ujinga mwingine.
 
Kabla ya matumizi ya efd mwishoni mwa mwaka jana trafiki walikuwa wakikusanya karibia billion mbili kwenye faini za barabarani. Najaribu kuangalia jinsi walivyojipanga sasa nchi nzima ukilinganisha na ile habari ya gazeti moja kuwa wamepangiwa kila mmoja akamate si magari kumi kwa siku basi ni wazi watakuwa wamefikia kwenye billion 5 kwa mwezi.
Ukikokotoa vizuri hapo billion 5 x 15 = 60 billion. Haya ni mapato makubwa sana kuzidi hata bajeti za baadhi ya wizara.
Swali ni je, mapato yote yanakusanywa kweli na pia makosa yanafanyika kweli au ndio madereva wanachangishwa kama michango ya mwenge!?
Mkuu kama binadamu bila usimamizi hizo hesabu azipo..ninachoonaa haya KWENYE gari zao wapo walioserious kukusanya mapato nawapo wamejipanga kutoka hats NA buku tatu kwa watu..mfano n hapo KMR Bucha unakita dads mmoja wamempajina la sadam huyoo akikutajia kosa anataka ukiri kwanza ukiri anaelekea KWENYE gari mbele anaendelea NA efd take kufanya mamboo....huku sehemu hiohioo wapo wanaume wataytu traffic wako KWENYE service road wanazuia magari NA bila woga wakiwa wanapokea unawaona wanaangalia kama watuwanaangaliwaa mama rwakatarree anasemagaa mbaaayaaaaaaa
 
Hii dawa yake ni dereva mwenye makosa kupewa wiki moja au mbili kwenda mwenyewe kulipa faini katika ofisi ya TRA iliyopo katika wilaya yake.

Hivyo huyo Traffic anakuandikia slip ya penalty ya kosa lako na kiasi unachotakiwa kulipa na yeye anabaki na copy.

Wewe anakupa hard copy ya kwenda kulipa na ukiishalipa kule TRA wao wanakupa stakabadhi ya malipo na mchezo umekwisha, traffic hajapata mshiko na pesa imeingia serikalini.

NI mfumo tu mdogo kama huu unaweza kumaliza hizi rushwa na ujinga mwingine.
RICHARD HIKOKITU KIPO...NA WANAPEWA NAFIKIRI SIKU SABA WAKIZIDISHA KUNA FAINI KILA WIKI SIO LAZIMA UWE NAHELA PALE PALE NDIOOMAANA WANANCHI AWAJUI WANAWAHI KUTOA RUSHWA..UNAWEZA ANDIKIWA UKAJA LIPA NDAN YA SIKUSABA....KAMA UMEONA PALE MAWASILIANO LEO KUNA MASHINE KUBWA KABISA IMEFUNIKWA NA TURUBAI KWA JUU ILE INASOMA NO ZA GARI..KAMA UMEPITILIZA SIKUSABA UJALIPA ILE MASHINE WANAELEKEZA MAGARI YANAPOTOKA ..NAMBA ZA MAGARI AMBAYO AYAJALIPA YAMEPITILIZA ZIKO INSIDE UKITOKEA WE N MMOJAWAPO ILE MASHINE INATOA ALARM ALAFU INAWAKA TAA NYEKUNDU KWAJUU INAONYESHA PLATE NO..NDIO MAANA UNASHANGAA GRAFFIC ANATOKA RESI ANAKIMBILIA BARABARANI KAKUONA KWENYE MASHINE...UJALIPA...SO WANANCHI MSIOGOPE KULIPIA EFD ..KAMA HUNA EFD INATOA RESIT UNADAIWA WANASAVE LESEN YAKO NO YA GARI NK. HAPO KUNA NAMBA ZA TIGOPESA MPESA ZA KULIPIA UKISHALIPA AKIKISHA UNABAKI NA HIO MSG UKIONA MWENYE EFD YOYOTE ONYESHA ANAKUTOLEA RESIT ..YAKO
 
Pamoja na kwamba huwa hatukuelewi sana uandishi wako, mada yako ya leo ni nzuri na kwa maoni yangu kwanza nakuunga mkono. Sasa kuna pande mbili za shilingi, kuna upande wa madereva wenye makosa ambao hupenda kutoa rushwa ili waachiwe, hao hawako tayari kulipia kwenye machine, wakiambiwa kitabu wanaitikia fasta.
Upande wa pili na ambao sijui sana dawa yake itapatikanaje, ni upande ambao dreva ana kosa ila sio la kukusudia ni la kuhitaji msaada wa maelekezo kutoka kwa askari, jamaa huwa hawana hiyo term ya kuelekeza au kusaidia, tena afadhali wangekulipisha ili kodi hiyo iende serikalini, wanakukomalia ukate za kitabu, ukiwa mwepesi wanakula.
Na upande mwingine baadhi ya askari ni wasingiziaji wazuri hasa wanapofikiria kupunguza matatizo yao, hujakosa anakukomalia kuwa umetenda kosa, na hapo hata uende wapi, so long ni polisi mwenye haki yeye hawakusikilizi wote wanataka wakupunge, hata kama kuna shahidi wanadai wanaongea na dereva hawamsikilizi mtu mwingine. Hapo tena mwoga ataingia kingi atawapa mshiko.
Ila wakitukuta kama sisi wengine shilingi sitoi, zaidi wakate tu ya mashine iende serikalini, tabu tu itakuja kwenye eneo la kuhesabiwa makosa unaweza kukuta unafungiwa leseni bila sababu ya msingi.
MKUU UKOSAWA KABISA WAKATI MWINGINE TUNAENDEKEZA KUTOA RUSHWA WENYEWE ILAKAMA ULIVYOSEMA ANAPOKUONA AUNA MWLEKEO WA KUTOA WANAONGEZA KOSA ILI BAGAIN IWE KUBWA..NIMEONA LEO HAPA BUCHS KIJANA MMOJA KATOKA ANAMWAMBIA WEWE TRAFFIC SHIDAYAKO NENDA STAIGHT SIJUI ALIMWELEZA NN MWANZON AKASHUKA AKAWAFWATA AKAWAMBIA WENGINE MSILIPE MSITOE HONGO GEUKEN KAMA ANAONA SERV ROAD TUMEKOSEA KUPITA TUGEUKE AKAENDA AKAWASHA GARI..ILA KABLA AKAPIGA PICHA BANA HAPO NDIPO NKACHEKA WALIKUWA WATATU MMOJA AKAONDOKA AKAONDOKA MWINGINE AKABAKI MMOJA NA YULE KUONA JAMAA WANAGEUZA WOTE LOH AKAHAMIA UPANDE WA PILI..TUWE SITUROONGUUU JAMANII
 
RICHARD HIKOKITU KIPO...NA WANAPEWA NAFIKIRI SIKU SABA WAKIZIDISHA KUNA FAINI KILA WIKI SIO LAZIMA UWE NAHELA PALE PALE NDIOOMAANA WANANCHI AWAJUI WANAWAHI KUTOA RUSHWA..UNAWEZA ANDIKIWA UKAJA LIPA NDAN YA SIKUSABA....KAMA UMEONA PALE MAWASILIANO LEO KUNA MASHINE KUBWA KABISA IMEFUNIKWA NA TURUBAI KWA JUU ILE INASOMA NO ZA GARI..KAMA UMEPITILIZA SIKUSABA UJALIPA ILE MASHINE WANAELEKEZA MAGARI YANAPOTOKA ..NAMBA ZA MAGARI AMBAYO AYAJALIPA YAMEPITILIZA ZIKO INSIDE UKITOKEA WE N MMOJAWAPO ILE MASHINE INATOA ALARM ALAFU INAWAKA TAA NYEKUNDU KWAJUU INAONYESHA PLATE NO..NDIO MAANA UNASHANGAA GRAFFIC ANATOKA RESI ANAKIMBILIA BARABARANI KAKUONA KWENYE MASHINE...UJALIPA...SO WANANCHI MSIOGOPE KULIPIA EFD ..KAMA HUNA EFD INATOA RESIT UNADAIWA WANASAVE LESEN YAKO NO YA GARI NK. HAPO KUNA NAMBA ZA TIGOPESA MPESA ZA KULIPIA UKISHALIPA AKIKISHA UNABAKI NA HIO MSG UKIONA MWENYE EFD YOYOTE ONYESHA ANAKUTOLEA RESIT ..YAKO

Sawa sawa Mkuu,lakini argument yako ni kwamba hii pesa haionekani kama imeingia serikali kuu.

Hivyo ni lazima ilipiwe kupitia TRA na sio usalama barabarani maana haifiki kule.
 
Nilipita Mikumi na basi na nilichoka na kumhurumia JPM, traffic kasimamisha basi limewahi timetable, halafu mpiga debe/konda agent wa Mikumi akampa signal konda wa gari kuwa ampe dogo mmoja mchafu mchafu hivi ambaye tayari alikuwa ubavuni kwa konda, baada ya kitendo hicho konda wetu akagonga gari na tukaondoka bila kumwona yule traffic
 
Lakini nafikiri basi kuwahi au kutokuwahi ni wajibu wa wenye mabasi kusimamia hilo.

mambo mengine yanatengeneza tu mianya ya rushwa zisizo na msingi.
 
Back
Top Bottom