Tunaposhangilia tamu, tukubali na chungu za Rais Samia

Mama anapotezwa na washauri uchwara wakina JK

Jk mara hii kasahau alivyokuwa akidakuliwa na mwendazake

Jk amesahau mke wake mzigo wake ulivyoshikiliwa bandarini.

Haya bwana yote maisha tu!!
Fanya kazi ulishe ubwabwa FAMILIA YAKO.....

ENDELEA KUOTA NDOTO ZA ALINACHA.....
 
Kupata katiba na kuandaa katiba sio Kama kupika chips ni Jambo la muda kulifikia

Tumpe muda

USSR
 
Rais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu.

Mijadala kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni imekuwa mingi. Wanalalama kwanini hataki kuleta Katiba mpya sasa! Wanasahau au wanapuuza ukweli kwamba Katiba si suala la kuamka na kutekeleza. Ombi langu, kuongoza nchi si kuongoza kaya.

Kuna mambo magumu yanayohitaji subira. Kwa kuwa tumeshangilia mengi mazuri ya Mama aliyofanya ndani ya Siku 100; basi tuwe wapole anapotenda tunayodhani hayatufurahishi. Tumhukumu kwa haki kwa sababu ndiyo kwanza ana siku 100 madarakani.

Watangulizi wake kama hawakufanikiwa kubadili Katiba kuanzia mwaka 1985 hadi 2021. Ni kwa sababu hiyo nashawishika kusema 'tumpe muda'.
Ameshafeli kila sehemu huyo,kwa kifupi tumemchoka.
 
Back
Top Bottom