Tunaposema wanyooshe hao si kwamba tunamuunga mkono

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,944
Hello gentleman & ladies,

Tunaposema baba wanyooshe, au tunavyosema Bashite wanyooshe hatumaanishi kwamba sisi ni kipenzi cha chama cha kijani la hasha! Tunasema wanyooshe tunataka watu wawe wakweli toka moyoni.

Kwakuwa watanzania ni wanafiki, unaweza mweleza mtanzania kitu kizuri na faida zake, akakubali na hata sala ya toba ataongozwa kukiri ujinga au upumbavu wake, ukigeuka tu na yeye anarudi tena kutumikia uozo wake.

Hata kama CCM walichakachua kura utofauti wa milioni 2 bado unatupa picha kwamba kati ya walewale waliokuwa wakitengeneza mafuriko wapo wachache kama si wengi walitugeuka siku ya kupiga kura walipoona magari ya jeshi yakipiga patrol.

Wanyooshe Magu, wanyooshe tena na bashite kaka yangu nakusihi wanyooshe mpaka walikimbie jiji tubaki wachache.
 
Nilivyosikia leo eti Mbunge Aesh hilary anaogopa kuja dar kisa mkolomije imebidi nicheke tu sasa!
Kweli kuna watu wanajipa uuungu mtu mpaka unawanogea.....
Kufikia 2020 wote tutazungumza lugha moja,kama ilivyo sasa hivi ukienda kijijini hutumii nguvu kuwaambia wanachi msirudie tena kufanya kosa mlilo fanya 2015!
Wanakuelewa kweli......
 
Back
Top Bottom