Tunaposema sasa urais zamu ya mwanamke ila maana wanaume hawatachukua fomu za kuomba urais?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Nawasalimu kwa Jina la CCM
Kumekuwa na Taarifa Kuwa Uchaguzi wa Mwaka 2025 ni ZAMU ya MWANAMKE kuwa Mgombea URAIS ndani ya CCM
Nimekuwa na Maswali kadhaa
1.Je Ni WANAWAKE tu Watakaoruhusiwa KUCHUKUA FOMU za KUOMBA KUTEULIWA?
2.Je WANAUME Wataruhusiwa au Wao WASIJARIBU KABISA kuchukua FOMU za KUOMBA KUTEULIWA?
3.Je Mwaka 2030 Itakuwa ZAMU ya Kundi gani maana WANAUME tayari na Wanawake ndio hao 2025?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe ni mwanaume kachukue acha kelele zisizo na msingi

USSR
 
Kama taratibu za kitu huzijui basi kaa kimya mnatuumiza kutumia akili zetu. 2025 kutakuwa na mgombea mmoja tu ambaye ni Rais wa sasa, sasa hao wengine watatoka wapi?
 
Kama wewe ni mwanaume kachukue acha kelele zisizo na msingi

USSR
tatizo lako unakurupuka au Ubongo walihamisha Wote
JamiiForums1980995331.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kama taratibu za kitu huzijui basi kaa kimya mnatuumiza kutumia akili zetu. 2025 kutakuwa na mgombea mmoja tu ambaye ni Rais wa sasa, sasa hao wengine watatoka wapi?
Una uhakika wa asilimia ngapi na hiki ulicho kiandika hapa?
 
Kama taratibu za kitu huzijui basi kaa kimya mnatuumiza kutumia akili zetu. 2025 kutakuwa na mgombea mmoja tu ambaye ni Rais wa sasa, sasa hao wengine watatoka wapi?
Hapana hiki ni kipindi cha pili mama anamalizia kwa mujibu wa katiba ya chama 2025 ni fungulia dimba kila anayetaka kugombea urais atachukua fomu
 
I think its time wanawake waliopata nafasi watulie na wajikite kwenye uwezo walionao kama viongozi na wawe busy kutenda kazi zao ili kusaidia nchi...

Kujadili jinsia kila siku sioni kama ina tija

Binafsi am getting bored na hizi nyimbo...

People want results whether ur male or female

NB:mi ni wa kike..
 
Imagine if men rubbed their gender on our faces all the time everyday...boring

Women,tujikite kwenye issues za msingi.
 
Kwa kauli ile yatakuwa yale yale ya last uchaguzi, ole wako uchukue fomu.
 
2025 CCM itachapisha na kutoa fomu za mgombea urais kwa mtu mmoja tu.

Atakayethubutu kuleta za kuleta yatamkuta ya Niguse Ninuke.
 
Back
Top Bottom