Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,592
217,981
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania...
Mkuu hizo ni ahadi hewa, marais wote US waliokuja Tanzania na waliishia kutoa ahadi hewa. Obama alipokuja aliahidi kutoa $7.5b kwa ajili ya powerpull kwa Tanzania ili iweze kuwa msambazaji mkubwa wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara. Usiwaamini sana hao matapeli.
 
Emancipate Yourself from Mental Slavery....

Anyway kama unapenda kujisomea tafuta story au angalia hata movie au google kuhusu trojan horses....

At best watu wanafuta quid pro qou lakini when push comes to shove ni numero uno...
Unajua sana kizungu kuliko kiswahili , mwambie Mungu awabariki wazungu , hicho kitabu ulichonielekeza nilishakisoma miaka 4 iliyopita
 
Mkuu hizo ni ahadi hewa, marais wote US waliokuja Tanzania na waliishia kutoa ahadi hewa. Obama alipokuja aliahidi kutoa $7.5b kwa ajili ya powerpull kwa Tanzania ili iweze kuwa msambazaji mkubwa wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara. Usiwaamini sana hao matapeli.
Mpaka sasa itabaki kwamba wametuahidi , hakuna lugha nyingine
 
Back
Top Bottom