Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata"

Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar

Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea Urais TFF ili Kupambana na Rais wa TFF Wallace Karia wana Yanga SC wote ( wengi ) mlimpenda na Kumsifu mno hivyo nawaomba hata kwa haya Madongo yake Kwenu muwe wapole na muendelee Kumpenda na Kumsifia sawa?

Akhsante sana Comrade Oscar Oscar!!!!
 
Yani walikuwa wamenizidi ujanja hpa mtaani na hizo jezi zao, SASA Hilo ndilo nitakalo watandika nalo, Ahsante Oscar!
 
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata"

Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar

Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea Urais TFF ili Kupambana na Rais wa TFF Wallace Karia wana Yanga SC wote ( wengi ) mlimpenda na Kumsifu mno hivyo nawaomba hata kwa haya Madongo yake Kwenu muwe wapole na muendelee Kumpenda na Kumsifia sawa?

Akhsante sana Comrade Oscar Oscar!!!!
Asante makorokocho fc
 
Hata na nyie pia muwe wapole na Haji mtoto wa Sunday...jezi ya Yanga hata iwe mbaya vp hatununui jezi za Simba..
 
yanga hawajawahi kuharibu kwenye upa nde wa jezi

IMG_4529.jpg

Mazombi kama yote
 
Huyo Osca yy nani? Sionagi umahiri katika uchambuzi wake,kikubwa anacho tafuta ni popularity akiwa nyuma ya kivuli cha Maulid Kitenge,naona anaelekea kufanikiwa kwani Misukule yote inafatilia ujinga anaongea ili ku_compensate na maumivu ya mafanikio ya Yanga,hapa anatibu mioyo ya wajinga wanaoshindwa kuhoji simba sc ilivyopoa km supu ya kambale,No new kit mpk sasa,Afisa Habari kazubaa km kashikwa kende,nchi nzima now ni Yanga Yanga Yanga
Natabiri hizo Jersey zenu za msimu huu zitakua Vunja bei kwelikweli kweli,sagula sagula,mama baba mpende mwanao km hamtokuja na ubunifu wa kueleweka
Kimsingi Huyo Osca ni Underdog Pundit,anapaswa ajijengee heshima ya kazi nzuri kabla ya kutafuta umaaarufu,aige mfano kwa Edo,Kitenge,Jeff Lea,Dauda,G.macha,A.Mayay,Marehemu Kashasha na wengine,jinsi walivyoianza safari ya uchambuzi,akiwekeza sn kwenye ujinga ujinga na u_underdog wake atafeli sana
 
Mapovu yote haya Ndugu ni kwakuwa Oscar Oscar kapiga katika Mshono wa Yanga SC au?
 
Back
Top Bottom