Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,750
- 13,397
Et eenh!?kwani bado hujabatizwa ?
ukinywa milinda nyeusi hutojuta
Et eenh!?kwani bado hujabatizwa ?
ukinywa milinda nyeusi hutojuta
aahh sana tuEt eenh!?
Kuna video ilizunguka katka mitandao ya kijamii. Mwaume Mnigeria wanaishi Marekani anasema mke wake anataka apikiwe, afuliwe na bills wagawane nusu kwa nusu kwakua wako Marekani. Anasema Waafrika wanaiga uzungu kupitiliza. Wakati huo huo snow ikifunika gari anaitwa baba akaitoe.
Mngekua na nyumba celf contained wifi angekuumiza sanaNiliwahi kuwa na demu mmoja mkenya akajisogeza geto kwangu tukawa tunaishi wote "come we stay". Kazi zote za ndani alitaka tupangiane mazamu kuanzia kufua, kuosha vyombo, kudeki, kupika nk mi kwa wakati ule nikawa naona poa tu. Bahati mbaya karo la kuoshea vyombo lilikua nje kwa uani na ile nyumba ilikua na wapangaji wengine.
Sasa kuna siku niko nje nimejipinda na masufuria yangu nasugua, wakati demu kakaa kibarazani kwa pembeni anasoma gazeti. Kwenye ile nyumba kuna baba mmoja wa makamo alikua anaishi. Basi siku hiyo aliponiona naosha vyombo alisimama, akaniangalia weee then akamuangalia yule demu halafu akatikisa kichwa. Nikaona kama anataka kusema kitu, ila akanyamaza akaingia zake ndani. Baadae nilikaa nikawaza sana yule mzee kwanini aliniangalia vile, na tangu siku hiyo ni kama na mimi akili ilifunguka nikaanza mipango ya kumpiga chini yule mkei.
Acha tu..Mngekua na nyumba celf contained wifi angekuumiza sana
Sio kosa kumsaidia kazi ila usivuke mipaka. Saaa ww hapo ulikuwa umevuka mipakaNiliwahi kuwa na demu mmoja mkenya akajisogeza geto kwangu tukawa tunaishi wote "come we stay". Kazi zote za ndani alitaka tupangiane mazamu kuanzia kufua, kuosha vyombo, kudeki, kupika nk mi kwa wakati ule nikawa naona poa tu. Bahati mbaya karo la kuoshea vyombo lilikua nje kwa uani na ile nyumba ilikua na wapangaji wengine.