Tunapoongelea usawa katika ndoa tukumbuke tofauti za kiuumbaji kati ya Mwanamke na Mwanaume

Kuna video ilizunguka katka mitandao ya kijamii. Mwaume Mnigeria wanaishi Marekani anasema mke wake anataka apikiwe, afuliwe na bills wagawane nusu kwa nusu kwakua wako Marekani. Anasema Waafrika wanaiga uzungu kupitiliza. Wakati huo huo snow ikifunika gari anaitwa baba akaitoe.

Niliwahi kuwa na demu mmoja mkenya akajisogeza geto kwangu tukawa tunaishi wote "come we stay". Kazi zote za ndani alitaka tupangiane mazamu kuanzia kufua, kuosha vyombo, kudeki, kupika nk mi kwa wakati ule nikawa naona poa tu. Bahati mbaya karo la kuoshea vyombo lilikua nje kwa uani na ile nyumba ilikua na wapangaji wengine.

Sasa kuna siku niko nje nimejipinda na masufuria yangu nasugua, wakati demu kakaa kibarazani kwa pembeni anasoma gazeti. Kwenye ile nyumba kuna baba mmoja wa makamo alikua anaishi. Basi siku hiyo aliponiona naosha vyombo alisimama, akaniangalia weee then akamuangalia yule demu halafu akatikisa kichwa. Nikaona kama anataka kusema kitu, ila akanyamaza akaingia zake ndani. Baadae nilikaa nikawaza sana yule mzee kwanini aliniangalia vile, na tangu siku hiyo ni kama na mimi akili ilifunguka nikaanza mipango ya kumpiga chini yule mkei.
 
Mngekua na nyumba celf contained wifi angekuumiza sana
 
Sio kosa kumsaidia kazi ila usivuke mipaka. Saaa ww hapo ulikuwa umevuka mipaka
 
mzee amiri wa mombasaaa...mambo heluwaaah
1614024715031.jpg
 
Billgate kabang mika 27 akila bata na melinda kwenye ndoawamekuja kubwagana juzi alafu leo anakuja mzungu kapikiwa kahawa tu kadata na kuanza kumpamba mke wake kua amempata mke bora?

Talk to your neighbour, mwambie chenga mbili asijione top juu ya neymar

Huyo mzungu mi nafikiri apewe muda tu
 
Miaka ya nyuma ya wazee wetu, mababu na mababu, mahusiano yalikuwa na commitment kubwa sana hata kabla wahusika hwajafunga ndoa,
Later, ndoa ndio zikawa zina wafunga na kuwacommit watu kubaki kwenye mahusiano.

Lakini kwa sasa ndoa inachukuliwa kawaida tu hakuna kizuizi wala uzito wowote watu wakitaka kutengana.

Kizazi chetu na kuendelea zinazofuta ni ndoa za mkataba tu...

Na baada ya miaka 20 mbele hakutakuwa na maswala ya ndoa tena au yatakuwepo kwa ucahche tu ilimradi,
 
Simfanyii kaz yoyote mume wangu nategemea afanye yeye sijui nikiwa kazin wanafunz nitawafunza kitu gani ili kula mmoja atambue majukumu yake.Labda kumnyima papuchi hiyo naweza bana tu maanana hakiwez kunipa aibu mbele ya mwanangu coz siwafundishi aina hiyo ya jukumu.Mi nadhani kama kweli mtu umetaka kuolewa bas kamtunze mtoto wa watu( mume) kama huwez bas mwache ili ajue tu yupo pekeyake.Naandika kwa hisia coz Nina mtoto wa kiume pia
 
Watu wanajitoa ufahamu tu,ila wangejikita katika utofauti wa maumbile baina ya sisi na wanawake,hakika hatuwezi kuwa sawa katika majukumu. Majukumu hupangwa na muambile.
 
Nashindwaga kuelewa watu kung'ang'ania kua na majukumu sawa kwenye ndoa wakati tunatofautiana maumbile hatupo sawa kila mtu afanye majukumu yake
 
Back
Top Bottom