Tunapochagua Viongozi wa Juu, tuangalie na kuchunguza Makuzi yao ya Awali!

Mleta mada ana hoja nzuri Sana Magufuli aliiba nyumba zetu na akampa mpaka hawara yake Sundi Molomo tukategemea angebadilika tukampa Urais ndio kaiba zaidi mpaka 1.5 trilioni. Theory yako ni mfu tabia mbaya ni mbaya tu
Endelea n ujinga wako ila Magufuli ndio Rais na Amiri jeshi mkuu, Hayupo apo kwa bahati mbaya sio kuwa ana baraka za system tu hata Mungu amembariki ndio maana kaupata Urais miongoni wa watanzania million 55
 
Udikteta ni zao la ukosefu wa malezi Bora utotoni, aliyelelewa kwenye misingi ya utu( utu means Mungu yu ndani yake) katu hawezi uwa watu, ibia wananchi Kodi zao, zulumu watu, kula rambirambi, kuwafanya wenzake wawe masikini ili wamuabudu,
Huwezi kupendwa wala kumfurahisha kila mtu mkuu
 
Kisayansi hulka ya mtu mzima yoyote imejengwa na misingi ya Makuzi yake ya awali,kuanzia miaka 0 Hadi 8!
Uwezo wa akili,Afya ya akili na mwili hujengwa katika kipindi hiki.

Ndio maana Mataifa yenye busara yanatumia rasilimali kubwa Sana katika kuwekeza kwa watoto.

Hii Ni Sayansi Pana Sana na Ni muhimu kila mtu kuifahamu!
Katika kipindi hiki Cha ukuaji wa mtoto. Makuzi na Maendeleo ya mtoto,wazazi ,walezi na Jamii wanatakiwa kuwekeza kwa mtoto;la kuwa athari za kutikufabya haya ninkubwa.

Ni ktk kipindi hiki ndipo wenye chuki,visasi,wezi ,roho mbaya ,wasiojiamini,kujitambua,nj wanapopatikana!
Kinyume chake,watu wema ,busara,hekima,upendo,wapenda Haki,wanaojitolea ,viongozi Bora ,wafariji huumbwa katika kipindi hiki pia!

Hebu tafakari bila kujipendelea jinsi Tabia na hulja zako Sasa zinavyo akisi malezi,Makuzi na Maendeleo yako ya awali!?

Ukishindwa kujitathmini wewe,hebu angalia familia unayoifahamu vizuri!waangalie watoto wao.....unawaonaje ukubwani!?

Kuna familia unafahamu ambayo malezi ya watoto wao yalijengwa ktk misingi maadili Bora,uchangamshi,upendo,amani,busara na hekima!? Unaonaje watoto wao leo!

Je, Kuna familia unafahamu.. ambayo Makuzi na malezi ya watoto yalijikita katika ukatili,hofu,maadili ya hovyo, mateso,kudekezwa,ugomvi,matusi,kukosa upendo ,chuki vurugu nk!? Unaonaje watoto wao wakuwa wakubwa!?

Ukiyatafari yote haya na kupata majibu utabaini kuwa tunapo fanya maandalizi ya Viongozi Ni muhimu kuangalia pia background ya familia yake,na aina ya malezi walio pata utotoni!

Haiwezekani Kiongozi nzuri akatokea katika familia ya walevi,waliojaa ugomvi,ukatili,vurugu,matusi ,ukatili na manyanyaso .Ukitokea bahati mbaya mtu wa aina hii akapenya Ni lazima Taifa likumbane na Dhahma!::
Ni muhimu sana kuyazingatia haya!
Mungu Ibariki Tanzania!
Kwahiyo unasemaje juu ya Interahamwe wetu aliekulia kambi za wakimbizi Gitega?
 
Ndio mana nikasema huna Hoja, Wewe unaejiona ni smart na umepewa nafasi ya kulelewa katika makuzi swafi mbona hujaupata Urais? Kaa ukijua mtu mpaka kuwa Rais miongoni wa mwa watanzania karibia million 60 sio kitu kidogo ni zaidi ya makuzi unayaongelea hapa
Ndugu hoja yangu Ni kuwa tunapochagua viongozi tuangalie na historia ya familia yake,makuzi yake ...hilinla Magufuli Mimi sijaandika!
Kwanini unafikiri Magufuli hakupitia kwenyee chujio hili!
 
Huna hoja mkuu, mwanadamu ana weza kuchange na kuwa vile anataka Muda wowote just akiamua na kuwa na effort kuna vitu ni inborn mfano leadership ability, kuna watu wanazaliwa wakiwa na attribute za uongozi, Impact za Malezi ya utotoni ni ndogo sana tena sana na pia kaa ukijua kila mtu ana Charismatic, Ndio maana leo Obama mwenye vimelea vya africa ame serve America for 8 years ile hali kina Bush SR, John Adams waliokuwa na ukwasi na walio kulia izo familia za uwezo wali serve for 4 years tu, Binadamu anazaliwa na Kipaji kila mtu ni best katika kitu fulani kinaweza kufifishwa na malezi ila once ukitambua wewe ni mzuri wa kipi at any time unaweza uka gloom na ukawa at peak
By the way huyu ni Rais wa Tano Tanzania na almost wote ni Self made
Binadamu sio kiumbe static ni dynamic anaweza kuchange muda wowote na Uwezo wa kusahau yaliopita ndio humfanya asonge mbele na Awe mpya
Sio kweli.pamoja na kwamba binadamu wanabadilika ila kamwe hataweza kubadilika tabia yake ya asili.Sana sana ataficha ficha tu kwa muda ila kuna wakati lazima tabia husika ijitokeze.Pia kumbuka hizi nafasi zakisiasa watu hawazipati kwasababu wanauwezo mkubwa aidha wa akili au kutenda bali ni nafasi tu inayojengeka kwa mtu kwasababu ya uwepo wake kwenye kisiasa ila inapotokea mtu kawa kiongozi wakisiasa alafu akawa na makuzi na tabia njema ni rahisi mtu huyo kua kiongozi bora.
 
Ndio mana nikasema huna Hoja, Wewe unaejiona ni smart na umepewa nafasi ya kulelewa katika makuzi swafi mbona hujaupata Urais? Kaa ukijua mtu mpaka kuwa Rais miongoni wa mwa watanzania karibia million 60 sio kitu kidogo ni zaidi ya makuzi unayaongelea hapa
Acha ujinga wewe.kwani uraisi unasomewa wapi?.Hizo si nafasi tu zakisiasa.au unataka watu wote tuwe wanasiasa ili tuje kugombea urais.Vyeo vyakisiasa mtu yoyote akiwa kwenye siasa anaweza kukipata kwasababu inategemea tu na upepo wakisiasa kwawakati huo tofauti kabisa na taaluma zingine.kwahiyo kama wewe kwaakili zako unaona mtu kua rais ndo anakua mtu bora kuliko wengine wote basi wewe ni kiazi.
 
Back
Top Bottom