Tunapenda jununua designer brand kwakua ni bora na imara

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,179
Manunuzi ya kwenye mitandao yamerahisisha upatikanaji wa bidhaa ambazo zamani tuliwaona nazo celebrities kwenye magazeti. Hii kweli ni dunia ya utanda wazi.

Wenye makampuni wamepunguza gharama ya kulipa pango la maduka, mishaharavyacwafanya kazi pamoja na ulinzi. Hii ndiyo sababu kubwa inayopelekea good bargains kwenye manunuzi ya mitandao.

Kinachipelekea watu kupenda kununua brand names ni ubora wa bidhaa zao.
 
Mm binafsi si nunui nguo mtandaoni na sababu zangu mbili:
1. Kwenye picha unaona ni material mazuri, mweeeeee! Ukija kuiona kwa macho unaweza ukalia na pesa nshakwenda.
2. Ni gharama sana
Na kama wameokoa gharama za kulipa pango kwann wanauza ghali?
 
Mitandaoni kumejaa fake designer brands labda ununue kwenye official website. Wengi wananunua eBay ambako hata mimi naweza kununua fake product from China nikaiweka eBay au Amazon nikaiuza.
 
Mitandaoni kumejaa fake designer brands labda ununue kwenye official website. Wengi wananunua eBay ambako hata mimi naweza kununua fake product from China nikaiweka eBay au Amazon nikaiuza.
Ohh ya mimi nimeona e bay mara nyingi 2 hand vinakua original lakini official website hasa wakiwa na sales bargain yao ni nzuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom