Tunapanda tusikimbiane wakati wa kuvuna

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,054
2,000
Habarini wakuu

Si rahisi sana watu kukimbia wakat wa mavuno, watu wengi hukimbilia shambani wakati wa mavuno na kufurahia mavuno

Ila si kila zao huwa linafurahisha wakat wa mavuno mfano ni rahisi sana kupanda upupu ila kuuvuna huwa shughuli pevu, ni rahisi sana kuweka mizinga ya nyuki tena bila hata kufunika mwili ila wakati wa kuvuna asali lazima ufunike mwili,

Tusisahau kuwa tunachopanda siku moja kitaota, kitakuwa kisha kitakomaa, mazao yatahijika yavunwe hapa ndipo tuangalie je tutaweza kweli kuvuna hichi tunachopanda, hili shamba mababu zetu walipanda matunda matam tukavuna mara kadhaa, leo bwana shamba anabadilisha aina ya zao husika, anabadilisha aina ya mbolea, hata majembe tunayotumia anabadilisha, hataki kushauriwa maana anatuona sisi hatujui kitu chochote kuhusu kilimo hiki, amesahau kuwa ametukuta tunalima na tunavuna kwa furaha sana, japo wakulima walikuwa wanagombana ila haikufikia hatua ya kukatiana mazao, ndio bwana shamba kapewa mamlaka na kakabidhiwa shamba afanye anachotaka ila hiki kitendo cha kupanda hiz mbegu ambazo kupanda ni rahis ila kuvuna ni kazi kubwa sana inatakiwa bwana shamba ajitafakar upya

Maisha ni matokeo ya matendo

Ahsanteni
 
Wrong Mr

Member
Jul 22, 2017
91
125

Pamoja mkuu
 
sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,054
2,000
ce5674f8bf4b0fe872c0a34f73b19d24.jpg
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,996
2,000
Ngoja tuvune mahindi na maharage tulopanda wenyewe ili tuitokomeze njaa.

Sasa, tunayaona wenyewe tuliyoyapanda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom