Tunaotaka kuomba Bachelor degree vyuo mbalimbali 2020/2021 tukutane basi

Solution ni ndogo tu..
Ingia nacte uangalie status yako kama kweli wametuma matokeo yako.. Ukiona "Submitted" basi we kamalizane na NACTE ili waconfirm matokeo yako..Ila hii issue Mara nyingi vyuo ndo vinadelay kutuma matokeo nacte
Ilo ni kweli ila tangu wanasema wametuma ni mda mrefu tu wanasema baada Ya wao kukamilisha kila k2 huko nacte baada Ya wiki mbili ndo tunaweza kuomba Lakin mpaka Sasa umetimia mwaka mzima hatujapata

Sent from my RNE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hiyo AVN inatolewa baada ya kumaliza Diploma au hata kabla ya matokeo ya mwisho kutoka?
 
Ilo ni kweli ila tangu wanasema wametuma ni mda mrefu tu wanasema baada Ya wao kukamilisha kila k2 huko nacte baada Ya wiki mbili ndo tunaweza kuomba Lakin mpaka Sasa umetimia mwaka mzima hatujapata

Sent from my RNE-L21 using JamiiForums mobile app
Hii process inaweza kutumia hata dk.. Maana chuo kinatuma kinatuma results kielectronic then nacre wanathibitisha.. Sema uwingi was vyuo ndo unasababisha kuchelewesha confirmation process... But kamachuo kikiwa punctual inakuwa mapema tu
 
Nishapoteza miaka yangu mitatu namalzia semester ya mwisho now (bachelor) na nyie mkapoteze muda.

Nashauri kama unajiamini, elim ya diploma inatosha sana, pesa iko mtaan, degree inakutengeneza kua mtumwa wa taasisi
 
Acha kuwapoteza wenzako, mbona we umesoma na kumaliza
 
Nishapoteza miaka yangu mitatu namalzia semester ya mwisho now (bachelor) na nyie mkapoteze muda.

Nashauri kama unajiamini, elim ya diploma inatosha sana, pesa iko mtaan, degree inakutengeneza kua mtumwa wa taasisi
Kwahiyo mzee nikachukue diploma ipi itakayonifaa maana advance nimesoma HGK.
 
Habarini Vijana,
Nawahusia na kuihusia nafsi yangu/zenu. Kama 'huna wani kali' usiombe Vyuo vyenye ushindani kama Udsm, Muhimbili, maana utajuta huu mwaka utakupita.
Kama utaviomba fanya kama kubahatisha, mean omba vingine vya kutosha then hivyo unajazilizia tu.
Maana kuna vyuo kama Mwecau, Tumaini, Sauti n.k huwa ni nadra sana kumuacha 'Aplicants' plz plz plz

Jaman jaman Jaman kama wewe ni Private Candidate'PC', ArtSubjectsFalure Plz chagua chuo ambacho aidha ni kwenu au unandugu maana ni ngumu sana tena sana zaidi ya sana kupata mkopo ,

Hima hima hima, kama utapata mkopo pleaaaase jitahidi kutumia 'boom' vzuri , maana Mimi nilikuwa namaliza boom langu ndani ya siku saba tu, Zile 'pisi' za Humanity sio kabisa.

AllIzWelL
 
Back
Top Bottom