Tunaosubiria kichupa cha Kushoto Kulia toka kwa bongo flava guru Harmonize tujongee hapa

Video kali sana, waliotegemea wangewaona wakata viuno imekula kwao,
Video inaangalika na watu wa rika lote, ametulia hatumiaa nguvu kuimba,
Hii video unaweza ukaitoa kama mahari ukapata mke bila masharti,
pamoja mkuuu

Haya wote twendeeee,
Kushoto, Kuliaaaaaaaaa,
Tena,
Kushoto Kuliaaaaaaaaa
yeeeeeeeuhww.
pamoja mkuu
 
Kwa wale wote die hard fans wa Konde Boy,Konde Gang aka Jeshiiiii kwanza cheers....
Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya dunia ya bongo fleva haijashuhudia kichupa kikali cha kufungia mwaka,ningependa kuwatahadharisha wale lame haters wa Maestro kuwa wameze panadol mapema,hivi wayatibu maumivu in advance...
Ndiyo tunafunga mwaka hivyo...
Jeshiiiiiiiiiiiiii......
Jeeeeeeeshi=Zooooooombi
 
Back
Top Bottom