Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Sahv imeshafika DZC
Screenshot_20220428_131632.jpg
 
DZA...899

DZB.....889

C hadi Z ukiondoa I na O unabakiwa herufi 22.

tutumie herufi B.

899*21=18,879


TRA wanasajiri wastani Wa 3000 kila mwezi.


bado miezi 7 kufika E,


itakuwa November huko, lakini uhalisia ni 2023 ndo E unaiona kitaa.
Mkuu hatufiki 2023 mzee amini kwamba! Kwa hii speed tuko DZC sahizi😅😅😅 ina maana soon kufiki June tutakuwa tunaelekea ukingoni kabisa so July inaweza tiki E
 
Hii ilikuwa Jumamosi Ila naskia mpaka sasa namba DZD zimefika 400 watu wanasubiri kutoa ndinga zao huko
IMG_20220502_231037.jpg
 
Back
Top Bottom