Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Yah!kitu dyy already kipo kitaani,soon dyz itaingia mtaani pia

View attachment 2182058

IMG_20220410_130422.jpg
 
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
[/QUOT
Hii ni April 2022 bado naisubiri E ichomoze 🤦🤦
 
Sasa hizi Sheria za kuzuiwa gari za before 2010 kuingia nchini si ni janga mana gari SUV za miaka ya 2010 kuendelea kama huna million 30 huipata aiseee, maskini kumiliki gari nzuri ndo hivyo tena
 
Back
Top Bottom