Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tarakimu zinazotumika ni 10, yaani 0 mpaka 9
Namba yenye tarakimu 111 huwa haipo; na pia namba zinazoanza na sifuri huwa hazipo pia
Kwa hiyo kwa utaratibu huu, namba zinazoweza kutumika kama tarakimu ya kwanza zina uwezekano wa kuchaguliwa kutoka kwenye namba 9, ambazo ni 1 mpaka 9
Namba zinazoweza kufuata kwenye ile tarakimu ya pili zina uwezekano wa kuchaguliwa katika zile 8 zilizobaki (baada ya ile ya kwanza kuwa imechukuliwa), lakini safari hii tukiongeza pia na sifuri kwa sababu sifuri nayo inaweza kutumika kama namba ya pili au ya tatu ila haiwezi kutumika kama ya kwanza.
Kwa hiyo kwa utaratibu huu, namba zinazoweza kutumika kama tarakimu ya pili zina uwezekano wa kuchaguliwa kutoka kwenye namba 9 zinaizobaki kutoka kwenye zile tarakimu kumi, baada ya ile ya kwanza kuwa imechukuliwa
Hali kadhalika, namba zinazoweza kufuata kwenye ile tarakimu ya tatu zina uwezekano wa kucghaguliwa kutoka kwenye zile 8 zilizobaki, baada ya ile ya pili kuwa imechukuliwa
Kwa hiyo, kwa utaratibu huu, muunganiko wa tarakimu tatu una uwezekano wa kuwa na namba (9x9x8)-1=648-1=647
Hapa tumetoa moja tukimaanisha namba yenye tarakimu 111 ambayo kawaida huwa haipo
Hilo la kwenye namba linakuwa limekwisha. Tunarudi sasa kwenye herufi tena
Alphabets A to Z ziko 25, lakini mbili huwa hazitumiki ambazo ni “I” na ”O”
Kwa utaratibu huu, herufi hizi zinabaki kuwa 23, na kila mojawaapo ya herufi katika hizi 23, ina uwezekano wa kutumika kama aidha herufi ya kwanza, ya pili au ya tatu
Kwa hiyo kwa idadi ya herufi hizi, muunganiko wake wa herufi tatu, unaweza kutengeneza idadi ya miunganiko ipatayo 23x24x21=10,626
Mbali na hilo, katika kila mojawapo ya miunganiko ya herufi hizi, kila muunganiko unaambatana tena na muunganiko wa namba tatu tatu zipatazo 647 kama tulivyoiziona hapo juu
Kwa hiyo idadi ya magari yatakayosajiliwa kuanzia herufi A mpaka Z (ukiondoa herufi mbili za “I” na “O”) ni magari 647x10,626=6,875,022
Kwa hiyo hadi kufikia namba ya mwisho kabisa ya toleo la herufi Z, jumla ya magari 6,875,022 yatakuwa yamesajiliwa, ndani ya matoleo ya herufi 23 kuanzia A mpaka Z
Kwa hiyo kila toleo la herufi moja moja litakuwa na idadi ya magari (6,875,022/23)=298,914
Kwa hiyo, kila toleo la herufi huwa huwa yanasajiliwa magari laki mbili na tisini na nane na mia ttisa na kumi na nne

Hata hivyo, idadi hii ni kwa utaratibu ule ambao hata namba zingine nazo pia hazitakiwi kujirudia, yaani kunakuwa hakuna 222, 333, 444,... kwa tarakimu, na pia kunakuwa hakuna AAA, BBB, CCC,.... n.k.

KWA HIYO KWA UTARTIBU KAMA ULIVYO SASA NCHINI AMBAPO NAMBA HIZI ZA KUJIRUDIA ZINAKUWEPO

Idadi ya tarakimu ni (9x10x10)-1=899
Idadi ya herufi ni 23x23x23=12,167
Idadi ya magari kuanzia herufi A mpaka Z ni 10,938,133 (899x12,157)
Idadi ya magari katika kila herufi ya toleo ni 475,571 (10,938,133/12,167)

Kwa hiyo kwa hali ilivyo sasa, kila toleo la herufi ya usajili linabeba idadi ya magari laki nne sabini na tano elfu, mia tano sabini na moja


MUBARIKIWE TENA NA BWANA
SAHIHISHO MUHIMU
Alphabets kutoka A to Z ziko 26 na siyo 25 na hivyo zinazoweza kutumika ni 24 na si 23. Kwa hali hiyo basi, idadi ya magari yanayoweza kuasjiliwa kuanzia herufi A to Z inakuwa 899x24x24x24=12,427, 776 na kila mojawapo ya herufi hizi inachukua idadi ya magari 517,824
 
SAHIHISHO MUHIMU
Alphabets kutoka A to Z ziko 26 na siyo 25 na hivyo zinazoweza kutumika ni 24 na si 23. Kwa hali hiyo basi, idadi ya magari yanayoweza kuasjiliwa kuanzia herufi A to Z inakuwa 899x24x24x24=12,427, 776 na kila mojawapo ya herufi hizi inachukua idadi ya magari 517,824
Wangoja E tutakesha Sana kumbe 🤣🤣🤣
 
Bado mpaka mwakani iyoo!
Kama jimeli kubwa limeshusha magari 3,700 na 7,00 tu ndio yanabaki nchini, tegemea kupata namba E mapema mwakani.
Hapo bado kusajiliwa magari takrabin 64,000 ndio namba D ziishe.
Na katika hayo 700 mengine yana usajili wa namba maalum ambazo hazipo kwenye mfumo wa hizi za kawaida. Hapo unawezakuta gari 100 zinapungua zinabaki 600.
 
Ulisema October hii ni november Sasa hio E iko wap😀😀 afu Yani kutoka dw kwenda dx ingekuwa magari 1000 ingekuwa sa hivi tuko J huko


Ipo hivi mfano kutoka T 101 DAA hizo namba 101 Hadi zifike 999 ndo inakuja DAB nayo itaanza 101 Hadi 999 Kisha itakuja DAC ..

Kingne D ilianza 2014

Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
 
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Hivi upya wa gari unategemea Registration ya Number plate?

Kuna mtu atanunua STK kwenye mnada na itakuja kusajiriwa kwa Namba E, vip utai-term kama gari bora kwa maana ya upya?
Mbona kama design fulani uboya uboya hv!!
 
Back
Top Bottom