General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Update
22/08/2022
Leo ndio tarehe namba E imeingia mtaani,
Tangu mwaka jana mwezi kama huu uzi huu uanzee....
Bye bye namba D, madalali sasa tuingie kazini
Toa namba D mtaani, weka namba E, habari ya mjini
View attachment 2332963
Chaos