Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Wewe ni kamanda?
Umewahi kuona kamanda wa mgambo wa kijiji alafu mleviiiiiii wa mataptap, mwembambaaaaaaaaa hana afya kabisa, ana mindevu fulani michafu, mabuti yamechoka yameshonwa shonwa kila mahali ila kayapiga kiwi fresh, kavaa uniform ila alivyokondeana lile shati la mgambo limekuwa kama mfuko wa mashineni limefika kwenye magoti? Ndio huyu pimbi
 
Mimi nilijua ni huyo wa kushoto
Screenshot_2021-06-19-10-56-47.jpg
 
Acha wenge wewe mpuuzi, CHADEMA ndio waliomkamata? Wana gereza? acha kurupoka ujinga wewe, pumbavu kabisa, naona MATAGA hamuwezi kukalisha makalio yenu mkatulia kila saa mnawataka tu CHADEMA
Akili zao zimewaruka hawaelewi washike lipi, Kuna taga mmoja ameanzisha uzi eti ni habari njema mtuhumiwa amevaa suti na amerudishiwa walinzi.
 
Hii ni sababu za kishamba kuwekeza chuki kwa mtu aliyefanya kazi yake kutetea watu wa Hai na kudhibiti viongozi wasiofaa.

Huyu mwanaCCM ambae Makamanda wenzangu wamemwagia chuki kubwa akimaliza haya majanga na kurudi uraiani Makamanda tutavuna aibu kubwa.
Haki Uhuru na Maendeleo ya watu ndio Sera mama anaitekeleza kwa sasa viva Chadema. Chadema inaongoza watu, Mataga wanaiga na kutawala.
 
MUNGU hawezi kujifanya hawaoni watendao maovu kwa makusudi.
MUNGU ni mwenye wivu.

Sabaya alitenda uovu kwa makusudi. Wa-Tz baadhi walimsifu na kumwabudu JPM badala ya MUNGU aliyewaumba. JPM naye akaona anastahili sifa na kuabudiwa. MUNGU mwenye wivu akapita naye.
 
Hii ni sababu za kishamba kuwekeza chuki kwa mtu aliyefanya kazi yake kutetea watu wa Hai na kudhibiti viongozi wasiofaa.

Huyu mwanaCCM ambae Makamanda wenzangu wamemwagia chuki kubwa akimaliza haya majanga na kurudi uraiani Makamanda tutavuna aibu kubwa.
Kwahiyo chadema ni washauri wakisiasa wa madam Samia suluhu Hassan.acha unafiki peleka malalamiko kwa muhusika
 
Hii ni sababu za kishamba kuwekeza chuki kwa mtu aliyefanya kazi yake kutetea watu wa Hai na kudhibiti viongozi wasiofaa.

Huyu mwanaCCM ambae Makamanda wenzangu wamemwagia chuki kubwa akimaliza haya majanga na kurudi uraiani Makamanda tutavuna aibu kubwa.
Kumbe Chadema wana polisi, wana dola, wana mahakama?
 
Hii ni sababu za kishamba kuwekeza chuki kwa mtu aliyefanya kazi yake kutetea watu wa Hai na kudhibiti viongozi wasiofaa.

Huyu mwanaCCM ambae Makamanda wenzangu wamemwagia chuki kubwa akimaliza haya majanga na kurudi uraiani Makamanda tutavuna aibu kubwa.
Kwani ameshtakiwa na chama!!!!!????
 
NEVER AND NEVER AGAIN
Mleta hoja tafadhali acha kufanya watu wajinga.
Watu wana machungu....acha tafadhali saaana
 
Kuna watu tele wanaamini sabaya katolewa kafara kuwafurahisha wapinzani. Wenye kutoa kafara kwa kawaida ni wachawi.
Magufuli kufa wengi tunaamini ni mapenzi ya mungu ila inapotokea mrithi wake kuanza kuwaandama vijana wake kama vile kapindua serikali inapoteza imani.

Sabaya wanaccm wanaamini aliwekwa jimbo la hai kwa kazi maalum aliyoitekeleza vizuri hadi kulikomboa jimbo toka kwa mabwanyenye waliyolitumia kuendesha ufisadi na ukwepaji kodi na kutaka kuabudiwa na raia wa kawaida.

Kuenguliwa kwake na kuburuzwa mahakamani kwa namna ya kudhalilishwa mara baada ya kifo cha magufuli ieleweke imeleta maudhi kwa wafuasi kindakindaki wa magufuli.

Jambo la kuudhi ni hizi habari kama ni kweli za kukamatwa mmoja wa vijana wanaomtetea sabaya Pio Pius kwenye mitandao.
Kama Pio Pius anazuiliwa kwa kusema sabaya kaonewa basi aachiwe mara moja kwa sababu kusema hivyo sio kosa la kukamatwa raia. Kama kuna kosa lingine inafaa kuwatoa mashaka watu wenye kusema sabaya anaonewa kwa sababu ni haki yao kusema wanaloamini.
 
Huyo Pinto Pius anatakiwa kuiacha mahakama iamue, kama amekamatwa ni vizuri afungwe mdomo ili kelele zake zisijekuingilia maamuzi ya mahakama.

Halafu unavyosema Sabaya aliwekwa Hai kwa "kazi maalum" sasa ndio analipa matunda ya hiyo kazi maalum ya kishetani mliyompa, mwambie na huyo Pinto wako ajue aache kiherehere.
 
Back
Top Bottom