Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Wat
Vijana wa chadema akili yenu imeishia hapa

IMG_20210701_181750_197.jpg
 
Huyo kijana pinto Hana akili anajiropokea hajui kuwa uchunguzi ulifanyika na unaendelea asubirie mpaka mwisho wa kesi.
 
Kazi kwa mfano ya kuvunja mtandao wa kupika na kusambaza gongo kwa kiwango cha kiwanda, kukamata watengenezaji na wauzaji wa fedha bandia, wadhulumu wa ardhi za umma na wamama wajane..ndio unasema ni kazi za kishetani?
Hai haijawahi kuwa na matatizo ya ardhi maana ardhi huridhitishwa fair kihalali kabisa na hata pombe za gongo ni nadra acha uongo. Acha mahakama ifanye kazi yake huyu sabaya alikuwa muhuni na mjinga aliyekuwa anavunja sheria na aliyemtuma na kusahau kuwa mwenzake ana Kinga ya kutokushitakiwa, hapo ni fundisho ukitumwa kazi na bosi hata kama ni kuvunja sheria Bora ukatae na u resign.
 
Kuna watu tele wanaamini sabaya katolewa kafara kuwafurahisha wapinzani. Wenye kutoa kafara kwa kawaida ni wachawi.
Magufuli kufa wengi tunaamini ni mapenzi ya mungu ila inapotokea mrithi wake kuanza kuwaandama vijana wake kama vile kapindua serikali inapoteza imani.

Sabaya wanaccm wanaamini aliwekwa jimbo la hai kwa kazi maalum aliyoitekeleza vizuri hadi kulikomboa jimbo toka kwa mabwanyenye waliyolitumia kuendesha ufisadi na ukwepaji kodi na kutaka kuabudiwa na raia wa kawaida.

Kuenguliwa kwake na kuburuzwa mahakamani kwa namna ya kudhalilishwa mara baada ya kifo cha magufuli ieleweke imeleta maudhi kwa wafuasi kindakindaki wa magufuli.

Jambo la kuudhi ni hizi habari kama ni kweli za kukamatwa mmoja wa vijana wanaomtetea sabaya Pinto Pius kwenye mitandao.
Kama Pinto Pius anazuiliwa kwa kusema sabaya kaonewa basi aachiwe mara moja kwa sababu kusema hivyo sio kosa la kukamatwa raia. Kama kuna kosa lingine inafaa kuwatoa mashaka watu wenye kusema sabaya anaonewa kwa sababu ni haki yao kusema wanaloamini.
Kuna ile sehemu katika kichwa cha mwandani ambayo ndio inahifadhi ubongo, kwako imejaa kinyesi.
 
mbona mtanyooka tu si mlikuwa juu ya Sheria mama anaupiga mwingi mpak Sasa anaongoza possession 80 shots on target 20 uku mataga hawaelewi wasifie na kusujudu au wawe wapinzani Kudadeki ndio kwanza mwezi 3 picha lipo kweny maintrodakseniiiii washararaaaa
Kwendraaaaah. Mnasherehekea bure. Ngoja muone kama hatujamset mama awe kimagufuli.
 
Sisi tunao mkubali jpm kwa mazuri yake machache ndiyo tuko upande wa Sabaya bila kujali anamakosa kweli au anasingiziwa mtusamehe kwa kweli upendo hauna akili
 
Back
Top Bottom