Tunaoshabikia CHADEMA kuyumba ikifa mtakuwa wageni wa nani?

celincolyn

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
243
0
Nasikitika kuona watu wanashangilia CHADEMA kupata mtikisiko mdogo wa kisiasa, hv CHADEMA ikifa.....tujiulize tu, pamoja na uwepo wa chama hiki lkn MaCCM yanatafuna nchi kama kwamba kesho yanahama je, CHADEMA ikifa si kwamba kila mtanzania atakuwa na bei yake sokoni? CHADEMA ikifa tu mm nahama nchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Napita tu mimi kwanza mgeni.
 

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,963
2,000
Hao wanaoshangilia kufa kwa CHADEMA ndio hao maccm yanayotafuna nchi usiku na mchana.Ukiona mwanachuo anashabikia,ujue ana mipango ya kuja kupokea kijiti na elimu anayoipata ni sawa na kunoa meno ili aje atafune sawa sawa.Wengine wanashabikia kwa kutojitambua tu kitu ambacho ni vigumu kuwabadilisha maana mp.u.mb.a.vu-------- hujifunza kutokana na makosa yake mwenyewe.Hata ukimwambia usikate mti ukiwa umekalia tawi ulikatalo utaanguka,atakwambia hakuelewi hadi ajionee mwenyewe!Wachache wanaopigania haki wakichoka wakaungana na maccm,ujue huo ndo utakuwa mwanzo wa machafuko kwani wananchi watakuwa wamekata tamaa.Badala ya ule mtindo wa mtu kujiua kwa sababu ya ugumu wa maisha,anaamua kujitoa muhanga kufanya ujambazi ili apate ama auawe kuliko yeye mwenyewe ajiue.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom