Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Matendo ya kijangili dhidi ya tembo na vifaru yanazidi kuongezeka kila kukicha japokuwa vita kubwa inaendelea kupiganwa kuhakikisha rasilimali zetu haziporwi.
Lakini hawa majangili tunaowasikia wakipora rasilimali zetu ni hao tunaowaona wakikamatwa na kuonyeshwa kwenye runinga? Je, ujangili huu unasimamiwa na nani hasa kama siyo sisi wenyewe Watanzania tusiokuwa na uchungu na rasilimali zetu?
Zaidi, soma hapa => Tunaona fahari kupora rasilimali zetu wenyewe | Fikra Pevu