bittersweet
Member
- Jan 16, 2017
- 22
- 17
Whatever the distractions are.. Why divert to issues that can handled by other people and focus on the economic issues that touches everyone
Utamzungumziaje Magufuli bila kuitaja CCM? Magufuli asingepatikana kama si CCM ..
Si kweli, Magufuli amepatikana kwa sababu ya CHADEMA.
Kuna ukweli hapa. Chadema waliiaminisha jamii kuwa Lowassa ni mchafu, ccm ikagawanyika na ikaingia mazima. Wapo waliokuwa wakiogopa tutamnadi vipi lowasa ikiwa ccm tutampitisha. Lowassa akakomaa akaimarisha mtandao wake. Na walioaminishwa kuwa lowasa fisadi nao wakaunda mtandao wao. Kukawa na mitandao miwili ndani ya ccm. Fahari wawili wakapigana, matokeo yake "Mungu kosa na mimi kosa". Kweli kabisa Rais wa sasa ni zao la Chadema. Tulie tu hapa hadi 2025.Si kweli, Magufuli amepatikana kwa sababu ya CHADEMA.
Mungu akulinde @Mwelewa,kifupi umenifanya nikumbuke nina umri gani siku ya leoM.M makala nzuri lakini naona unampigia mbuzi gitaa acheze reggae.
Raisi wetu amejenga chuki kwenye moyo wake yeye si wakuwasaidia wananchi tena, sasa hivi ni wananchi kumsaidia raisi.
Nakuunga mkono tunahitaji raisi atakayeamsha spirit ya wananchi kufanya kazi kwa kujitolea. Vijana waone fahari kujitolea kwaajili ya taifa lao na si kama ilivyo sasa tunagawanywa wao wanamadaraka na wapinzani ni pumbavu tu hawana madaraka.
Mwisho kama nilivyosema awali raisi ana chuki moyoni mwake. Hii ni ngumu kuondoka kwasababu akisema ajishushe atadhani watu watamwona dhaifu. Hii ni shida kubwa. Kipindi kingine cha uchaguzi tuangalie sana kiongozi atakayetuunganisha tuone fahari ndani ya nchi yetu hata kama kiongozi huyu hana umaarufu tumchaguwe kwa weledi, msimamo na upendo wake kwa wananchi.
Uongo wa kiwango cha Phd huu! Mungu anakuona lakini! Masikini ya Mungu wamechota akili zako zote!
Eti dikteta uchwara amepatikana kwa sababu ya CHADEMA! Hahahahaha lol!
kuukataa ukweli hakuufanyi ukweli usiwe ukweli. Hadi utakapoutazama ukweli ndio utajua ni kwanini Magufuli ni matokeo ya maamuzi ya CHADEMA siyo ya CCM.
Matusi yako hayafanyi hoja yako kuwa na nguvu; yanathibitisha tu uwezo wako wa kutunga hoja. Ngoja nikuulize swali - sitegemei kama utaweza kulijibu najaribu tu - kama CHADEMA isingemchukua Lowassa unafikiri nini kingetokea a. kwa Lowassa na B. kwa CCM?Acha kutufanya watu wapumbavu bhanaa! Peleka huu ujinga wako mtaa wa Lumumba siyo humu. Kwanini umeamua kujitoa ufahamu kiasi hiki!? Duh! Njaa mbaya sana.
Mkuu acha kujitoa ufahamu bana EL asingekuja huku ccm wangetupiga nje ndani si kheri tulipunguza uharamia wao kwa % kadhaaMatusi yako hayafanyi hoja yako kuwa na nguvu; yanathibitisha tu uwezo wako wa kutunga hoja. Ngoja nikuulize swali - sitegemei kama utaweza kulijibu najaribu tu - kama CHADEMA hukua Lowassa unafikiri nini kingetokea a. kwa Lowassa na B. kwa CCM?
Matusi yako hayafanyi hoja yako kuwa na nguvu; yanathibitisha tu uwezo wako wa kutunga hoja. Ngoja nikuulize swali - sitegemei kama utaweza kulijibu najaribu tu - kama CHADEMA isingemchukua Lowassa unafikiri nini kingetokea a. kwa Lowassa na B. kwa CCM?
Mkuu humu kuna vilaza wengi tu,habari za uchumi hawawezi kabisa kugusa,we andika thread sema Makonda kafuta jina kwenye cheti,ndani ya saa moja,utapata page 30 lakini sio uchumi na mambo mengine amabayo yanahitaji kunoa bongoMbona uchumi watu hamuuzungumzii? serikali inabana private secta kama vile kuna cold war..private sector ndio zinazooajiri na kulipa kodi, private sector ni kama inauawa na awamu hii ya tano hadi watu wanatamani heri ufisadi urudi
makusanyo makubwa ya TRA wameona sio sustainable kwa hii staili, ndio maana wamepunguza mbwembwe za kutangaza. . ila hili halipewi mjadala kama hayo mengine?
Tough times ahead as govt unveils more spending cuts
Uchumi imara hujengwa na Utawala bora. Turekebishe kwanza utawala then uchumi utajiset wenyewe.Mbona uchumi watu hamuuzungumzii? serikali inabana private secta kama vile kuna cold war..private sector ndio zinazooajiri na kulipa kodi, private sector ni kama inauawa na awamu hii ya tano hadi watu wanatamani heri ufisadi urudi
makusanyo makubwa ya TRA wameona sio sustainable kwa hii staili, ndio maana wamepunguza mbwembwe za kutangaza. . ila hili halipewi mjadala kama hayo mengine?
Tough times ahead as govt unveils more spending cuts
Utawala bora kwanza ndo tufuate uchumi. Huwezi kuzungumzia uchumi imara huku rais anaua sekta binafsi hiyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.Mkuu humu kuna vilaza wengi tu,habari za uchumi hawawezi kabisa kugusa,we andika thread sema Makonda kafuta jina kwenye cheti,ndani ya saa moja,utapata page 30 lakini sio uchumi na mambo mengine amabayo yanahitaji kunoa bongo
Njaa inakusumbua sio bure. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mtanyooka tu miaka hii hamchomoki mlizoea vya kunyonga.Mijitu ya namna hii ndio mnafanya nchi hii haiendelei... Hivi shida ni kumpa MTU nchi au kuendesha nchi kwa mujibu Wa sheria na katiba kama kiapo kinavyosema?
Utamzungumziaje Magufuli bila kuitaja CCM? Magufuli asingepatikana kama si CCM na cha kustaajabisha pamoja na kuwa wanaona huyu jamaa alivyoshindwa kuongoza nchi hao hao MACCM wameamua kukaa kimya na kuangalia pembeni huku nchi ikizidi kwenda mrama. Kuna watu wachache ndani ya MACCM kama Mzee RUKHSA, Warioba na Butiku ambao waliamua kujitoa hadharani na kuuponda uongozi wa Magufuli lakini waliobaki wengine wote wako kimyaaaa kabisa. Magufuli ni CCM huwezi kumjadili Magufuli bila kuijadili CCM na vice versa.