Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

Wasalaam wapendwa!

Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.

Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti na nani?

Hebu vaa viatu vyake chukulia kua wewe ni tundu Lissu,
1. Upigwe risasi 16 saa 7 mchana kweupe na mpaka leo hii wasijulikane waliotenda tukio hilo
2. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu unyimwe gharama za matibabu yako kama mbunge bila sababu yeyote ya msingi
3. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu mpaka leo unyimwe nafsi yako ya ubunge na stahiki ziingine
4. Chukulia hii wewe ni Tundu Lissu unaporwa ubunge wako hadharani bila sababu ya msingi
6. Chukulia wewe ndio yeye unapata matatizo watu wanazuiwa hata kukusanyika kukuombea kwa Mola upone
6. Chukulia wewe ni Tundu Lissu unaarifiwa na vyanzo vya ndani ya mfumo kama asemavyo yeye kua ilitolewa amri kua shughuli ilitakiwa imalizike mapema kisha apumzishwe haraka kijijini kwao mapema bila kuagwa, hivi kwa maneno haya upendo utoke wapi?

Tunaomwita Lissu mtumwa wa Mabeberu hebu mfikirieni na yeye kwa vyote aliyofikia nayo. Mbona hatukumwita msaliti kabla? Hivi yeye si binadamu na asinune wala kuchukua ana moyo wa chuma?
Hivi viatu ni vizito kwakweli. Mungu ana maana yake ya kutomchukua Lissu katika shambulio lile la kikatili.
 
Mkuu johnthebaptist:

Unafananishaje UHAI wa MTU na Mali.

Chukua Sekunde chache na ujaribu kutafakari kipi bora kwako au Kwa Familia yako, ROHO au MALI?
Mungu mkubwa. Malipo ni hapa hapa. Waljyemdhamiria afe hakufa na bado anadunda. Yule aliyeagiza kupigwa risasi kwa TL, kesha R.I.P!
 
That fool amefanya campaign zote hukuwahi dhihirisha vision yake zaidi ya kumsema Magufuli ,
Hana vision yule, he can only criticize other people Vision,
Kama aliamua ku side na Mzungu kwenye makinikia and they both lost it that is good for nothing lunatic.
You're an idiot
 
I agree with you on that, JPM tried his best to fix the deeds of his predecessors and the ccm mafia,
Matatizo ya nchi hii yameletwa na ccm, but I hate what Lisu did, Despite all JPM alikuwa na watu wengi sana waliompenda na kumkubali he could've done better by taking the Advantage just to mourn with them or just stay quiet,
Kiongozi mzuri siku zote hujipambanua kwa Upendo katikati ya chuki na kutafuta maridhiano kama alivyofanya Mandela dhidi ya Watesi wake, na kwa hili that stupid Lunatic Tundu hatakuwa kiongozi kamwe tena na waliomfanyia ule unyama bado wako, asiache kujihami.
Rest easy
1. Godfrey Luena,
2. Leopold Lwabaje
3. Akwilina Akwilini Bafta
4. Daniel John
5. Alphonce Mawazo

Tunawakumbuka:
1. Azory Gwanda
2. Simon Kanguye
3. Ben Saanane

Hebu kawambie ndugu wa hao hapo juu waonyeshe upendo kwa kupoteza ndugu zao katika mazingira tatanishi na wengine kuuwawa kikatili uone kama watakuelewa.
 
That fool amefanya campaign zote hukuwahi dhihirisha vision yake zaidi ya kumsema Magufuli ,
Hana vision yule, he can only criticize other people Vision,
Kama aliamua ku side na Mzungu kwenye makinikia and they both lost it that is good for nothing lunatic.
Hivi unajua kuwa
1) makinikia hivi tunavyozungumza yanasafirishwa kwenda nje kuchebjuliwa kama ilivyokuwa
2) kile kishika uchumba cha $ 300m hatujalipwa chote hadi leo 3) katika kampuni ya twiga iliyoanzishwa kwa ubia na Barric tuna hisa ya 16% tu
4) mkataba kati yetu na Barric waukuidhinishwa na bunge.
Kati ya Lissu na wale wanaomwita msaliti nani katudanganya?
 
Wasalaam wapendwa!

Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.

Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti na nani?

Hebu vaa viatu vyake chukulia kua wewe ni tundu Lissu,
1. Upigwe risasi 16 saa 7 mchana kweupe na mpaka leo hii wasijulikane waliotenda tukio hilo
2. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu unyimwe gharama za matibabu yako kama mbunge bila sababu yeyote ya msingi
3. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu mpaka leo unyimwe nafsi yako ya ubunge na stahiki ziingine
4. Chukulia hii wewe ni Tundu Lissu unaporwa ubunge wako hadharani bila sababu ya msingi
6. Chukulia wewe ndio yeye unapata matatizo watu wanazuiwa hata kukusanyika kukuombea kwa Mola upone
6. Chukulia wewe ni Tundu Lissu unaarifiwa na vyanzo vya ndani ya mfumo kama asemavyo yeye kua ilitolewa amri kua shughuli ilitakiwa imalizike mapema kisha apumzishwe haraka kijijini kwao mapema bila kuagwa, hivi kwa maneno haya upendo utoke wapi?

Tunaomwita Lissu mtumwa wa Mabeberu hebu mfikirieni na yeye kwa vyote aliyofikia nayo. Mbona hatukumwita msaliti kabla? Hivi yeye si binadamu na asinune wala kuchukua ana moyo wa chuma?
Tundu Lisu alivuna alichopanda na ataendelela kuvuna anachopanda sasa!!
Yuko "salama" mikononi mwa mabeberu kama jinsi mbuzi anavyojiona yuko salama kwenye banda la mfugaji. Siku ya sikukuu ikifika na mfugaji anahitaji kitoweo ndipo mbuzi atakapogundua kuwa kumbe aliingia mkenge!!
Hata Osama bin Laden kuna wakati alikuwa anajiona salama sana katika mikono ya mabeberu!! Kilichotokea wote mnakifahamu!! Ni suala la muda tu!!
 
Huyu Tundu nazani hayupo sawa upstair.
Tufanye hayo yote ulioandika hapo ni kweli. Je kashfa na matusu ndio vinaponya majeraha yake? Huyu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.
Anachuki na visasi kupita kiasi.
 
Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa JMT. Mimi siyo CCM wala CHADEMA, yaani sina chama. Lakini sina trust na Lisu kabisa kwa usalama wa Taifa letu.
Wewe ni taga Kama mataga mengine tu acha kujificha kwenye shamba la karanga nyang'au wewe
 
Hapo hasira haiwezi isha hususani unaponusa nusa harufu ya wale waliokushambulia ama aliyetuma au aliyeshindwa kutumia mamlaka yake kuwakamata washambuliaji. Wakati mwingine moyo utatamani kusamehe ila unapokumbuka tu yaliyokukuta, moyo unajaa chuki na hasira.
Kama kuna miamba imekosa tu fao la kujitoa imefura kinoma na inapiga tu k vant na mbuzi choma kana kwamba inaishi dunia nyingine kabisa. Imezima radio na tv masikani ili isisikie kelele zozote tangu uvumi kuthibitiswa sembuse antipass
 
Kuna mambo hapa duniani hufanyika ni magumu na kila unapoyaelezea unaweza kuwa unatoa machozi na kulia, Lakini cha ajabu, yakisha kutendeka hayabadiriki tena hata ukivimba na kuvimba Kwa uchungu ukiekezea,

Kuendelea kuyakumbuka ni kujiumiza Kwani huwezi kuyabadirisha, una heri moyo wa kusamehe

Utu hupimwa Kwa uendelevu wa mtu kule aendako na siyo atokako

Ukiniuliza Mimi kuhusu Tundu Lissu Kwa sasa, nitasema, huyu Lissu ni mbaya kuliko anayemsema kuwa ni mbaya!!

Kwa maana ni wangapi ambao wamepatwa na ulemavu wa kusababishiwa lkn Bado walivaa ubinadamu wa kusamehe na kumwinulia Mungu sifa, na unajiuliza, kama ingetokea ndio amekufa siku hiyo, hii lawama angekuwa anaitupa wapi???

Swala lililopo ni kumshukuru Kwanza Mungu Kwa kubaki salama na kwamba Hadi sasa yupo, Swali lake ingelikuwa ni kumu, uliza huyu Mungu aliyeamua abaki, ni lipi anapaswa afanye, na Kwa nini aliamua yeye abaki mbali na kwamba mpango wa maadui zake ilikuwa kwamba afe!!!?

Kama Hana hata hiyo akili, basi yeye ndio mbaya kuliko maadui zake,
bosi unaongea kiyesuyesu kwenye jambo la bullet.
 
Mbona Billicanas ilivunjwa lakini Mbowe haongei ujinga ujinga kama huyo Tundu Lisu?
We Mpuuzi mmekuwa Kama Lishetani lilipoambiwa na Mungu mguse Ayubu Ila roho yake amna mamlaka nayo. Ndicho kilichowatokea kwa Lisu.mbowe mmegusa Mali amjagusa mwili Ila kwa Lisu ilikuwa mwili wake. Pole mataga omba Sasa kwa Mungu uguse roho yake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
bosi unaongea kiyesuyesu kwenye jambo la bullet.
Mkuu, kuendelea kushikilia Maumivu ya Jana ukasahau kesho yako yenye ubora kuliko ya Jana, ni kujiumiza mwenyewe

Naendelea kusisitiza kuwa, Lissu ndiye mbaya kuliko maadui zake, Kwani Naamini kama Ukikaa na Lissu kwenye chumba kimoja ama kijiweni, itokee umesema mambo mazuri aliyoyafanya JPM Hayati, anaweza kukunyonga utadhani kuna kosa hapo!!!

Naamini ndipo alipofikia huyu jamaa, na Kwa kweli, tunampa pole, lakini hiyo pole iendane na ukweli anaoujua yeye moyoni mwake, Kwa nini alimiminiwa lisasi peke yake na Kwa nini asiwe mwingine??

Kwa nini adhabu ya Mh huyo iwe ni Risasi za moto?? Hayo anajua yeye na waliofanya uovu huo
 
Unataka kufananisha uhai wa mtu na bilicana? Aliyenyimwa mamilioni yake ya matibabu na kisha kunyang’anywa ubunge kidikteta? Akili za wapi hizi Bwashee!? 😳😳😳
Mbona Billicanas ilivunjwa lakini Mbowe haongei ujinga ujinga kama huyo Tundu Lisu?
 
Tundu Lissu alikuwa majeruhi tukakatazwa kufanya Ibada za kumuombea na watu wote waliotaka kufanya hivyo walisakwa kama Majangili.

Jiwe kaumwa bila Sisi kujua na hatuku muombea pia. Jiwe amefariki tunaanza kuhamasishana Mshikamano mara Tumuombee.

Hivi kipi bora, KUOMBEA MAJERUHI au MAITI?

MUNGU ni fundi na Malipo ni hapa hapa Duniani.
Duh..
 
Back
Top Bottom