Tunaomba vifo vyote vidhibitishwe na madaktari na si kienyeji

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
tunaiomba serikali itoe posho kwa madaktari na usafiri wa pikipiki ili wagawane vijiji kuweza kufika kuthibitisha iwiwao kifo kitatokea,siyo watu wanazikana kienyeji,tutazikwa wazima
niite mlokozi
 
Sio kuzikwa hai tu kuna wengine wameuwawa na wa karibu lakini huwezi kujua maana ni kilio tu kama vilio vingine

Nchi nyingi ni marufuku kuzika bila uchunguzi wa daktari

Yaani unaweza ukasubiri hata mwezi nchi zingine
Kweli watu wanazika watu wakiwa hai na wengine masuala ya mirathi na kuanza kujililisha kama kuna msiba wa kawaida kumbe ni murder case iliyofichwa
 
Upo sahihi sana
 
Back
Top Bottom