Tunaomba ushauri wako kumsaidia kijana huyu kwenda katika njia sahihi

MZIBHAZI

JF-Expert Member
May 11, 2013
520
139
Ni rafiki yangu kipenz sana yeye yupo morogoro alikuja kusoma mzumbe wakati anamaliza akakutana na dada mmoja ni mwalimu hapo morogoro jamaa akaanza mahusiano nae huku akiwa amemuacha mpenz wake hukooo kishapu shinyanga akiwa anasoma chuo cha ualimu.jamaa baada ya kumpata huyo mwalimu wa moro mapenzi yakawa deep kwakua mwanamke alikua anakazi tayari akajidhatiti kuonesha mapez ya dhati kwa jamaa hata bumu likiisha yule mwalimu anampa pesaa aendele na masomo vizuri bahati nzuri jamaa kamaliza chuo na akawa amwrudi kwao shinyanga sasa katika harakati za maisha yule mwalimu akawa anaendelea kumjari na kumpenda licha ya kua jamaa hajapata kazi jamaa kanogewa kaamua aje aishi nae morogoro ingawa anasema huyubmealimu alizalishwa na jamaa aliyekua anawake wawili bila yeye kujua kama jamaa kaoa baada ya kujua kua jamaa ana wake wawli ilimuuma sana na akaamua aishi maisha yake tu na mwanae ingawa sasa mtoto ni mkubwa yupo kwa bibie huko iringa ila but huyu rafiki yangu mpka sasa anaishi nae vzr tu i ngawa anasema huwa wanakwazana lakini ni ile ya kawaida ya mahusiano na jmaaa tayari kashampenda na yeye tena sana WAKATI yule dada aliyekua nae amemaliza chuo sasa yuko Jkt hukoo anapambana akirudi ndo aajiriwe na hajui chochote kama mwanaume wake alipata mtu mwingine na anaishi nae sasa kaja kunishaurisha hapaa kwamba afanyeje huyu anayeishi nae anampenda tayari na yule nae anajua kua anamwanaume wake akimaliza tu jkt wanoana na istoshe kule kijijin wazazi wao wanajua mahusiano yao ya mda mrefu sasa jaman tusaidiane ushauri hapa wana JF najua hapa tutapata cha kumshauri jamaa he is in dilema Asanteni
 
Mkuu ondoa papara..nipe namba ya huyo binti wa JKT tafadhali usinifkirie vibaya nina njema mno yaani mno
 
Mkuu ondoa papara..nipe namba ya huyo binti wa JKT tafadhali usinifkirie vibaya nina njema mno yaani mno


mkuu namba ya huyo wa jkt sina mimi simfahamu lakini tunaweza kuipata nitamuomba jamaa.kama atakubali nitakupa
 
Mwandiko wako mkuu sio mzuri hata kidogo. Anyway, hapo hakuna cha kumshauri zaidi ya kumwambia kuwa, kwasababu hakuna aliyezaa nae kati yao, basi aamue kuwa na mmoja kati yao sisi hatuwezi kumchagulia.

Ni ujinga na kutokujiamini kwa mwanaume kukosa msimamo katika jambo dogo kama hilo.

Hiyo ni tamaa ya mapenzi na itamcost asipofanya maamuzi sasa.
 
Mwandiko wako mkuu sio mzuri hata kidogo. Anyway, hapo hakuna cha kumshauri zaidi ya kumwambia kuwa, kwasababu hakuna aliyezaa nae kati yao, basi aamue kuwa na mmoja kati yao sisi hatuwezi kumchagulia.

Ni ujinga na kutokujiamini kwa mwanaume kukosa msimamo katika jambo dogo kama hilo.

Hiyo ni tamaa ya mapenzi na itamcost asipofanya maamuzi sasa.

Mkuu samahani kwa mwandiko mbaya ila mawazo yako ni mazuri kama yangu hata mimi nilimwambia aisikie nafsi yake na afanye maamuzi kwakua hajazaa na yeyete lakini jamaa anaona kama atakua amefanya unyama hahahahaa mapenzi bana yana upuuzi ndani yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom