Tunaomba tuwaone hao wahudumu ATCL wasio na mvuto,wabaya na wafupi! Je wafukuzwe kazi au wafungwe jela?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,204
42,063
Wasalaam!

Hii mada inataji picha zaidi kuliko maneno!
Ni kweli wahudumu wetu wa ndge ya ATCL ni wabaya na wafupi kama zakayo na hawana mvuto kama alivyosema Mh
IMG_0218.jpg
IMG_0220.jpg
IMG_0221.jpg
IMG_0222.jpg
Mbunge?

Ni nani mwenye picha za hao wahudumu?
Wako wapi?
Baada ya kugundua ni kweli tuna wahudumu wafupi na wabaya wasio na mvuto sasa tulio nao hao tuwafukuze kazi? Au wafungwe jela kwa kuwa wabaya na wasio na mvuto?

Mkurugenzi wa ATCL afukuze kazi kwa kuajiri wahudumu wafupi?

Lakini lazima tuanze kwanza kwa kuletewa picha za wahudumu wafupi ,wabaya wa ATCL na wasio na mvuto

Je ni hawa?
IMG_0224.jpg
IMG_0225.jpg
IMG_0219.jpg
IMG_0223.jpg
IMG_0217.jpg
 
Ni mwendelezo wa kufungamanisha uwezo/hadhi ya mwanamke na maumbo au sura na siyo uwezo wa kitaaluma, kiakili au tabia (objectifying women). Inasikitisha zaidi kwamba ile kauli ilitolewa na mwanamke, tena kiongozi. Bado tuna safari ndefu.
 
Wasalaam!

Hii mada inataji picha zaidi kuliko maneno!
Ni kweli wahudumu wetu wa ndge ya ATCL ni wabaya na wafupi kama zakayo na hawana mvuto kama alivyosema Mh View attachment 1257642View attachment 1257641View attachment 1257639View attachment 1257638Mbunge?

Ni nani mwenye picha za hao wahudumu?
Wako wapi?
Baada ya kugundua ni kweli tuna wahudumu wafupi na wabaya wasio na mvuto sasa tulio nao hao tuwafukuze kazi? Au wafungwe jela kwa kuwa wabaya na wasio na mvuto?

Mkurugenzi wa ATCL afukuze kazi kwa kuajiri wahudumu wafupi?

Lakini lazima tuanze kwanza kwa kuletewa picha za wahudumu wafupi ,wabaya wa ATCL na wasio na mvuto

Je ni hawa?View attachment 1257637View attachment 1257636View attachment 1257635View attachment 1257634View attachment 1257633
NATAMANI KUPANDA AIR TANZANIA NIKUTANE NA HAWA WAREMBO
 
Sipendi kutumia hili neno ila ngoja nivunje maadili kidogo maana kenge mpaka damu imtoke ndio anasikia.
Huu ni UFALA maana sielewi ubaguzi wa aina hii umeanza lini? Pia sidhani kama una maslahi kwa taifa, Uzuri alioutaja pamoja na urefu wa mtu hauna maana yoyote ya usalama wa angani,maelekezo kwa abiria na kuhudumia abiria.
Mtu ameajiriwa atoe huduma kulingana na taaluma yake.
Mimi mtanzania kwa kuzaliwa niseme tu kama mtu una hamu ya mwanamke mrefu na mzuri katika mtazamo wako nenda ukamtafute upeleke posa na sio kukosa heshima katika ajira,watu wanahitaji kutunza familia,kuchangia jumuiya za maendeleo kupitia ajira.. Mtu mbaguzi hastahili kupewa mamlaka,laiti kama angotokea katika jimbo letu, kampeni ya kumdhibiti asirudi mjengoni ningeshiriki.
MH.SPIKA ANGEMFUNGIA KIKAO KIMOJA KAMA ADHABU KWA KIONGOZI KUHAMSHISHA UBAGUZI KAZINI.
Mungu Ibariki Tanzania..Tokomeza Ubaguzi Katika Kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom