Tunaomba tanesco wawe wazalendo tarehe 31/10/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaomba tanesco wawe wazalendo tarehe 31/10/2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kiraia, Oct 21, 2010.

 1. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Kwa kipindi cha Nyuma kumekuwa na tetesi za Shirika la umeme Tanzania kukata umeme siku za uchaguzi hasa kipindi cha jioni wakati kura zikihesabiwa na kuwapa nafasi wale wasio na huruma na nchi yetu kutekeleza azma zao. Hivyo basi tunaomba uongozi wa TANESCO kuwa wazalendo mwaka huu na kuacha nuru iwamulike wezi wa kura hasa yale maeneo yenye umeme. kwa yale maeneo yasiyokuwa na umeme hasa vijijini tunawaomba wapiga kura kuwa makini ili uchakachuaji usiweze kufanyika kwani tetesi za masunduku ya kura feki za mbeya bado zinatesa bongo zetu japo ndio hivyo wakubwa wameshakanusha.
   
Loading...