Tunaomba serikali ishughulikie suala la ajira kwa wahitimu wa vyuo

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
217
Ngazi zote wahitimu vyuo wanahitaji kazi sasa tunaomba serikali kama walivyo sema kwenye kampeni zao wafanye haraka maana tumechoka na mambo yao ya kwenye kamera a.k.a tumbua majipu
 
mkuu naona kweli umechoka hutaki mbwe mbwe ujumbe umefika
 
Back
Top Bottom