Tunaomba NUMB ATM, Kitunda Shule Dar

iddhassan

Senior Member
Jul 26, 2016
100
133
Kitunda ni eneo kwenye wakati wengi na Biashara nyingi sana. Tunaomba kupatiwa huduma ya NUMB ATM. Eneo la njia panda kuna kituo cha polisi na usalama wa kutosha, wateja wa kutosha tupo.

Kazi kwenu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ule upewe mkoa wa kujitegemea ...kitunda na maeneo jirani
 
Back
Top Bottom