Tunaomba Mamlaka za Uteuzi zitufafanulie hatua inazochukua baada ya RC au DC kushikwa Ugoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Miaka michache iliyopita DC wa Kyela aliyejulikana kwa jina la Mashimba ( niko tayari kusahihishwa ) aliondolewa Wilayani humo kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu , hii ilikuja kufahamika baada ya maofisa wilayani Kyela kuchoshwa na tabia mbaya ya DC huyo , baada ya kuondolewa haikufahamika hadi leo hatua zingine zilizofuatia.

Sasa ninaomba mamlaka zinazohusika na wateule hawa ambao pia kwenye maeneo yao ni miungu watu , zitoe muongozo wa wazi kwa jamii kuhusiana na watu hawa ambao kwao Uzinzi ni sehemu ya majukumu yao.

Naomba kuwasilisha
 
Sasa ninaomba mamlaka zinazohusika na wateule hawa ambao pia kwenye maeneo yao ni miungu watu , zitowe muongozo wa wazi kwa watu hawa ambao kwao Uzinzi ni sehemu ya majukumu yao.

Naomba kuwasilisha
Hahahaa...... Umenikumbusha fly to KIA!
 
Miaka michache iliyopita DC wa Kyela aliyejulikana kwa jina la Mashimba ( niko tayari kusahihishwa ) aliondolewa Wilayani humo kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu , hii ilikuja kufahamika baada ya maofisa wilayani Kyela kuchoshwa na tabia mbaya ya DC huyo , baada ya kuondolewa haikufahamika hadi leo hatua zingine zilizofuatia.

Sasa ninaomba mamlaka zinazohusika na wateule hawa ambao pia kwenye maeneo yao ni miungu watu , zitoe muongozo wa wazi kwa jamii kuhusiana na watu hawa ambao kwao Uzinzi ni sehemu ya majukumu yao.

Naomba kuwasilisha
Huyo DC miaka ya Nyuma Pia huko Bukombe Shinyanga alimfanyia Figisu Mdada Fulani alikuwa chini yake na Kumuhamisha Kumpeleka Maporini huko, kisa alimtaka na huyo Mdada akagoma.
Haya MaCCM Mazinzi saana!
 
Weee Sumbururu dishi limeyumba? Mtoa mada anaulizia kuhusu ma DC tunaowalipa sisi mishahara, ambao wanabanwa na miiko ya maadili
Kama mboe amekula mutu wako wewe na yeye huo siugomvi wetu ni wenu
Rudi ktk mada ushauri wanaokosa maadili warembewe KIONGOZ HAWEZI KUWA MUHUNI
Mbowe na Joyce Mukya wanalipwa kwa Kodi zetu Kama Wabunge na mbowe pia analipwa kwa Kodi zetu Kama mwenyekiti wa chadema Taifa kupitia Ruzuku za Kodi zetu
 
Weee Sumbururu dishi limeyumba? Mtoa mada anaulizia kuhusu ma DC tunaowalipa sisi mishahara, ambao wanabanwa na miiko ya maadili
Kama mboe amekula mutu wako wewe na yeye huo siugomvi wetu ni wenu
Rudi ktk mada ushauri wanaokosa maadili warembewe KIONGOZ HAWEZI KUWA MUHUNI
Kwani mshahara wa mbunge Mbowe unalipwa na nani?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom