Tunaomba majumuisho ya bajeti kuu leo yarushwe live, tafadhali!

mcfm40

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,452
3,150
Kuna mambo mengi yamezungumzwa kuhusu hii bajeti kuu na mashaka mengi yametolewa kutoka pande tofauti. Ingekuwa jambo la busara na heshima kwa wananchi kama majumuisho ya Waziri Mpango yangerushwa moja kwa moja ili tuweze kuona jinsi serikali inavyojibu hoja mbalimbali zilizotolewa kuhusu bajeti hii.

Wakati wa kuwasilishwa ilirushwa live, tunaomba pia wakati wa kuhitimishwa irushwe live! Tafadhali.
 
Back
Top Bottom