Mkuu huku barabarani tunateseka sana kosa dogo elfu 30 au kama unataka unafuu ukubali kutoa hela ya kupiga brash yaani ni balaa utatamani uache gari kwa jinsi traffic police walivyo wasumbufukweli kaka tuligeuza debits kuwa collected revenue
sasa tunakoelekea tunakwenda kuanzsha TPRA Traffic police Revenue authority Mungu akipenda labda mwezi feb tunapeleka muswada maana hakuna namna yani chalii mlalo wa mende
Ndugu yangu mapato ya mwezi julai mwaka jana yalikuwa sawa na anayotamka heradius 12 lakini ndiyo hakukuwa na jinsi watu wanalinda vitumbua vyao ikatangazwa tril.1.1heradius12 mbona umejitoa mhanga sana? inamaana mapato ndio yamedrop kias iko?
..You speaking without thinking,and locking you up isFools errand maana hata gerazani wana akili kukulikoNilisha sema yakizidi billion 700 ya november bila editing magufuli anifunge kifungo cha maisha.
Watatangaza yaliyopanda ambayo ni ya mwez huu januari ambapo watu wamelipa madeni ya mwisho wa mwaka na leseni nyingi hua zinalipiwa kipindi hichi... Subiri uoneKulikuwa na kawaida ya kututangazia mapato ya kila mwezi kutoka kwa TRA, walikuwa wanafanya kazi nzuri sana na kuonyesha uwazi.. nawapongeza sana
Ila kwa mwezi Novemba hawakutangaza na sijui kwa nini, mwezi Disemba umeshapita naomba tutangaziwe mapato yake pia ili kuendeleza uwazi ulianzishwa na wananchi kujua nchi yao inavyoendelea
Tena watanzania muache kudodosa mapato hata mkitangaziwa!matumizi hampangi nyie hata bunge kibogoyo haliwezi kuhoiji kwasasa.mtulie tuna mambo mengi ya kufanya nchi bado imepindaMapato yapo yanapitia katika kipindi kigumu sana..............
Watanzania muwe watulivu ......
Wakati tukijiandaa kuwatangazia.......
Asanteni sana........
hawajatangaza bado, hata mwezi novemba mbona hawakutangaza pia??wadau due date for withholding taxes za mwezi december n tarehe 7/01 yaani kesho. watatangaza vipi?. tuwape muda wadau.
halafu makusanyo kushuka sio jambo la kufurahia hata kidogo.