Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Kulikuwa na kawaida ya kututangazia mapato ya kila mwezi kutoka kwa TRA, walikuwa wanafanya kazi nzuri sana na kuonyesha uwazi.. nawapongeza sana
Ila kwa mwezi Novemba hawakutangaza na sijui kwa nini, mwezi Disemba umeshapita naomba tutangaziwe mapato yake pia ili kuendeleza uwazi ulianzishwa na wananchi kujua nchi yao inavyoendelea