Tunaomba Kujua Mchango Wa Diaspora Kisiasa Na Kiuchumi; Kwa Nini Tuwakumbatie?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,448
Points
0

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,448 0
Nimekuwa mpiga debe mkubwa wa Diaspora kuingia kwenye uongozi wa hii nchi. Nina uhakika kwamba, wapo baadhi ya vijana wenye uwezo mkubwa sana, kwenye medani tofauti za Kijamii, Sheria, Siasa na Uchumi. Bila kutaja majina, wapo vijana wengi ila wawili (standouts) ndio wanaofahamika zaidi kwa vipaji vyao; Moja ni mchambuzi mkubwa humu JF na mwingine ni mfanya kazi huko Wall-street. Kuna baadhi pia wapo Uingereza na kwingineko

Kinachonishangaza ni kwamba, hakuna hata mmoja wa hawa vijana aliyejitokeza kugombea nafasi yoyote ya uongozi. Tukiwaweka kando Dr. Hildebrand Shayo na Dr.Kaborou, Tunaowaona kwenye medani za siasa ndio kama wale (waropokaji) waliosafirishwa na CCM kutoka DMV kuhudhuria Mkutano mkuu wa CCM wakiongoza na Kituko LeTotoz.

Je hawa Diaspora wanadharau siasa au wanaogopa kuingia kwenye uongozi. Je kuna vipingamizi vingine vinavyowazuia vijana wetu kurudi kulijenga taifa?..........CDM , CUF, CCM, TLP na mengineyo ina mikakati gani?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
50,296
Points
2,000

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
50,296 2,000
Wengine wanafikiria ku habitate Mars na intergalactic travel shyt. Sasa bongo hata ndoto tu haziruhusiwi jinsi mbu wanavyouma!

The world is your oyster, and home is where you "make" it.

Tanzania ina miaka kama 100 hivi kuwa tayari kwa technological civilization, by the time inakuwa tayari the Westphalian nation-state idea itself will be a defunct debunked relic to be studied by historians.

Sheeeesh...

Kwa sasa tutakuja likizo tu na kuchangia familia, ndugu jamaa na marafiki.
 
IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
2,760
Points
2,000

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
2,760 2,000
I double dare you to....
Tanzanians in diaspora community comprise of people who ran from the challenges in the country. Majority escaped the system including National Service for those who matured at the time. Unlike Kenyans most Tanzanians are hardly surviving abroad. Most are turning back as failures in the system they thought could make them live their "Dreams". Because of wisdom in political system in India where Diaspora are bared from participating in politics particularly leadership I advice Tanzanians to reject the army of "wabangaizaji" who were misled by rogue politicians like KINANA that they can land into land of honey and milk through CCM(political leadership).
 
zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
10,025
Points
2,000

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2010
10,025 2,000
[h=2]di·as·po·ra[/h]/daɪˈæs pər ə, di-/ Show Spelled [dahy-as-per-uh, dee-] Show IPA
noun 1. ( usually initial capital letter ) the scattering of the Jews to countries outside of Palestine after the Babylonian captivity.

2. ( often initial capital letter ) the body of Jews living in countries outside Israel.

3. ( often initial capital letter ) such countries collectively: the return of the Jews from the Diaspora.

4. any group migration or flight from a country or region. Synonyms: dispersion, dissemination, migration, displacement, scattering. Antonyms: return.

5. any group that has been dispersed outside its traditional homeland, especially involuntarily, as Africans during the trans-Atlantic slave trade.
nitoeni tongotongo wakuu.
 
W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Nimekuwa mpiga debe mkubwa wa Diaspora kuingia kwenye uongozi wa hii nchi. Nina uhakika kwamba, wapo baadhi ya vijana wenye uwezo mkubwa sana, kwenye medani tofauti za Kijamii, Sheria, Siasa na Uchumi. Bila kutaja majina, wapo vijana wengi ila wawili (standouts) ndio wanaofahamika zaidi kwa vipaji vyao; Moja ni mchambuzi mkubwa humu JF na mwingine ni mfanya kazi huko Wall-street. Kuna baadhi pia wapo Uingereza na kwingineko

Kinachonishangaza ni kwamba, hakuna hata mmoja wa hawa vijana aliyejitokeza kugombea nafasi yoyote ya uongozi. Tukiwaweka kando Dr. Hildebrand Shayo na Dr.Kaborou, Tunaowaona kwenye medani za siasa ndio kama wale (waropokaji) waliosafirishwa na CCM kutoka DMV kuhudhuria Mkutano mkuu wa CCM wakiongoza na Kituko LeTotoz.

Je hawa Diaspora wanadharau siasa au wanaogopa kuingia kwenye uongozi. Je kuna vipingamizi vingine vinavyowazuia vijana wetu kurudi kulijenga taifa?..........CDM , CUF, CCM, TLP na mengineyo ina mikakati gani?
- Ungeanza na wewe kwanza kwa nini hauko kwenye uongozi wa siasa and then uje kwangu Le Biig Shoow!!

Le Mutuz!!
 
Azipa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Messages
1,071
Points
1,225

Azipa

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2012
1,071 1,225
So people are busy showcasing their talents here because they're eyeing political posts, huh?

There's still a long walk to freedom. So when you guys are discussing you do so carefully not to hurt the feelings of your prospective bosses!!!
 
Umslpogaaz

Member
Joined
Apr 14, 2008
Messages
94
Points
0

Umslpogaaz

Member
Joined Apr 14, 2008
94 0
walioko nje wengi ni mitoto ya mifisadi au niwataje? Nitaanika Id anayotumia humu Jf na majina Yao halisi
Sio kweli kuwa wengi wa Watanzania waishio nje ni watoto wa mafisadi. Kwa taarifa yako, watoto wa mafisadi wengi wapo Tanzania hapo wanafaidi uhondo wa ufisadi. Maisha ya diaspora si maisha rahisi kama wengi mnavyofikiria.
 
Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
3,448
Points
0

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2009
3,448 0
- Ungeanza na wewe kwanza kwa nini hauko kwenye uongozi wa siasa and then uje kwangu Le Biig Shoow!!

Le Mutuz!!
Wewe sikuzote ni spoiler kwenye discussions. Mijadala mizuri unaingilia na kuchafua hali ya hewa na kuleta mambo yako ya kitoto. Jina lako limetajwa wapi? wewe kwani ni Diaspora?
 
Wachovu

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Messages
1,227
Points
1,500

Wachovu

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2012
1,227 1,500
Wengine wanafikiria ku habitate Mars na intergalactic travel shyt. Sasa bongo hata ndoto tu haziruhusiwi jinsi mbu wanavyouma!

The world is your oyster, and home is where you "make" it.

Tanzania ina miaka kama 100 hivi kuwa tayari kwa technological civilization, by the time inakuwa tayari the Westphalian nation-state idea itself will be a defunct debunked relic to be studied by historians.

Sheeeesh...

Kwa sasa tutakuja likizo tu na kuchangia familia, ndugu jamaa na marafiki.
Kwenda zako , nyie wakimbizi hamna lolote,
Tumeishi nchi hizo hamana lolote la maana, wengi wenu kazi kupangusa ****** ya wazungu hamana mchango wowote
 
W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Wewe sikuzote ni spoiler. Jina lako limetajwa wapi? wewe kwani ni Diaspora?
- Wewe huna hoja wala idea of what unakiongea, Diaspora mwaka jana wameliletea Taifa USD $ 10 Million, half of it came from UK so kuwa na heshima nao japo kidogo!!

- Swali ni kwa nini wewe hujagombea uongozi kabla hujauliza wengine!!, halafu si umesema una picha zangu nikiwa uchi zikowapi ziweke hapa kama wewe mwanamke kweli, wallahi nakulipa kama vipi!! ha1 ha! ha! wacha wewe mkewa mzungu ndio nini? rubbish!!

Le Mutuz!!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,710
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,710 2,000
- Wewe huna hoja wala idea of what unakiongea, Diaspora mwaka jana wameliletea Taifa USD $ 10 Million, half of it came from UK so kuwa na heshima nao japo kidogo!!

- Swali ni kwa nini wewe hujagombea uongozi kabla hujauliza wengine!!, halafu si umesema una picha zangu nikiwa uchi zikowapi ziweke hapa kama wewe mwanamke kweli, wallahi nakulipa kama vipi!! ha1 ha! ha! wacha wewe mkewa mzungu ndio nini? rubbish!!

Le Mutuz!!
Ana picha ya Le Mutuz in his birthday suit? Hahahaaa....aiseeee. Anaifanyia nini sasa hiyo picha?
 
Forum statistics

Threads 1,392,869
Members 528,740
Posts 34,120,589
Top