Tunaomba Dangote arudi Tanzania kama mwanzo

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,000
8,083
Hola fam!

Mwekezaji Aliko Alihaji Dangote the biggest richest man in Africa, tunaomba arudishe majeshi kama mwanzo based on cement production.

In Zambia Dangote Cement sold at 55 kwatcha per bag source ; Zambia magazine updates.

kipindi hicho dangote alifariji wanyonge sana, The honourable President Jakaya introduced the man in Tanzania has Dangote put his interest against pursued his production achievement here in Tanzania.

hizi blah blah za tax hawa wakina nani wa kule kwa kina nani, wanaearn free free tax wakado jamaa akakata winga zambia saa hivi zambia wana neema.

Dear mom shall you begging for the new invasion of Aliko Dangote Cement as it was in last time been.

cc maendereo hayana chama ndugu zangu 😊
 
ee4df5f5-808b-450e-8f19-a965dea8c7b3.jpg
 
Daaa it was a hard time
Ilikuwa ngumu sana kufanya biashara kwenye mazingira yasiyotabirika!!!leo wanasema hivi kesho vile, kila kiongozi hata mtendaji wa kijiji, naye anakuja kukuuliza mambo ya kodi, tumepitia kipindi kigumu
 
Mama amtumie maombi rasmi awe mshauri wake kiuchumi,kama alivyofanya Remephosa wa South Africa kwa MO.
He will send a few representatives of his company to do so, if it could be in such.
Dangote kama dangote with his top body wako busy kumonitor extra duty kama hii uliyosema kwa upande wao that means they have a forehead plans with timeframe schedule of their businesses,

if ukimtaka Dangote awe mentor and director advisory wako tena kwa taifa, seriously you ought to make a huge payments for that, What is the value payed here because of brand reputations, he has build reputations for the years both locally and internationally.
 
Ilikuwa ngumu sana kufanya biashara kwenye mazingira yasiyotabirika!!!leo wanasema hivi kesho vile, kila kiongozi hata mtendaji wa kijiji, naye anakuja kukuuliza mambo ya kodi, tumepitia kipindi kigumu sana.
Dah! hahaaha!
 
Mr
Vetting iwe Ni Lazima kabla ya jina kupitishwa na vikao vya uteuzi aisee
Mr.@joshua_ok what do you try to say kwamba mpaka majadiliano yakae wapitishe kwamba the company should be given go ahead or further approval to proceeds.
 
Ilikuwa ngumu sana kufanya biashara kwenye mazingira yasiyotabirika!!!leo wanasema hivi kesho vile, kila kiongozi hata mtendaji wa kijiji, naye anakuja kukuuliza mambo ya kodi, tumepitia kipindi kigumu sana.
Tulipitia jehanamu ndogo. Ndio maana watu walijaa uwanjani kushuhudia kama kweli huyu mtu kafa?

Watu wenye roho mbaya hawafagi kirahisi maana hata kuzimu huwa inawakataa.
 
Back
Top Bottom