Tunaomba captain zakaria hanspoppe agombee ubunge iringa mjini..

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Kwa wote wasiojua kuwa Zakaria Hanspoppe ni miongoni mwa wanajeshi wa nchi ya MKWAWA yan Iringa...nionavyo mimi Hanspoppe ni kati ya watu adimu sana wanaoweza kuifanyia makubwa Iringa Mjini...nawasilisha kwenu wadau!
 
Kikubwa ni uwezo wake lakini pia CHAMA atakachogombea.. Watu wshachoka chama tawala, hata MKWAWA akifufuka leo akagombee Iringa kwa tiketi y CCM lazima apigwe chini tu
 
Perfect replacement ya LUKUVI, alimchana magufuli hadi raha...Hili Jembe linatakiwa liingie mjengoni kwa ticket ya CDM...
 
Jaman tunamjadili kwa vile ni mtani jembe chimba au kuna kitu kafanya cha kimaendeleo?!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom