Tunaokesha usiku wa leo kujihami na mafuriko tukutane hape.

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu km hali ya hewa namuna ilivyo na mvua inavyoendelea kumwagika usiku huu tumelazimika kukesha tusije ondoka na maji km mvua inanyesha huko uliko tukutane hapa tujadili changamoto na nin? Cha kufanya km mvua itazidi na mafuriko yakitukumba nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajiuliza cha kufanya ni nini? Kama umepanga Hama. Kama umejenga kipindi cha Kiangazi mtafute boya mpangishe wewe sepa.
 
Back
Top Bottom