Tunaoishi kwa mashemeji zetu (MUME WA DADA) Tukutane hapa

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,253
2,908
Binafsi mimi dada yangu aliolewa hapa mji kasoro bahari...

Sasa baada ya kumaliza chuo akaniomba niende kumsaidia kumwangalizia kibanda chake wakati yeye akienda kwenye mishe nyingine.

Sasa tabu kubwa ilikuwa ni vyumba vya kulala ni vichache sana, cha dada na shemeji, cha watoto na cha beki tatu na wageni wengine.

Sasa mimi kutokana na uzoefu wangu wa kupitia jkt nikamwambia sister isiwe tabu mimi ntakuwa nasogeza kochi najiegesha sebuleni.

Sasa ishu ni pale nimerudi nimechoka nataka kulala unakuta bado wapo wamekodoa macho kwenye TV.
Siku nyingine wanaenda kulala utashangaa beki tatu kakomaa na remote mpaka saa saba usiku.

Hii hali huwa inanikera sana, ila ndo hivo naogopa kurudi kijijini kushika jembe

Wale wenzangu na mimi naomba tusaidiane challenge tunazokutana nazo na jinsi ya kuzikwepa.

Nawasilisha.
 
Tafuta kaz mkuu ..hiyo life nimepitia nilipokuwa rikizo a level nilikuwa nakaa kama wee ivo ..sio poa ..mbaya zaid umemeliza chuo??? Harafu unang'ang'ania apoo duu...Mzee aibu siku izii hayupo
 
Nawaambiaga vijana mkiwa machuoni MPANGE VYUMBA kukaa chuoni kunalemaza sana watu hawajui tu, ukilipa kodi tu ukanunua vyakula vya mwezi mzima umemaliza.

wengi wanatoka vyuoni wanarudi kwa baba mdogo, shemeji, mama mdogo, shangazi na wajomba hii ni aibu kabisa has kwa wanaume, wanawake wao watakua wa House girl part 2 ndio maana wanaishigi vizuri tu

Mashemeji ni hatari tena kama ni mwanaume utashangaa unanuiwa tu.
 
Binafsi mimi dada yangu aliolewa hapa mji kasoro bahari...

Sasa baada ya kumaliza chuo akaniomba niende kumsaidia kumwangalizia kibanda chake wakati yeye akienda kwenye mishe nyingine.

Sasa tabu kubwa ilikuwa ni vyumba vya kulala ni vichache sana, cha dada na shemeji, cha watoto na cha beki tatu na wageni wengine.

Sasa mimi kutokana na uzoefu wangu wa kupitia jkt nikamwambia sister isiwe tabu mimi ntakuwa nasogeza kochi najiegesha sebuleni.

Sasa ishu ni pale nimerudi nimechoka nataka kulala unakuta bado wapo wamekodoa macho kwenye TV.
Siku nyingine wanaenda kulala utashangaa beki tatu kakomaa na remote mpaka saa saba usiku.

Hii hali huwa inanikera sana, ila ndo hivo naogopa kurudi kijijini kushika jembe

Wale wenzangu na mimi naomba tusaidiane challenge tunazokutana nazo na jinsi ya kuzikwepa.

Nawasilisha.
Kwahiyo huko chuoni ulikwenda kusomea ujinga?
 
Niko kwangu. Naandika kujibu namna ulivyoidhalilisha JKT ambayo nami ni mdau. Unatoka JKT halafu unashindwa kukaa mpaka saa 7 na JKT ya wapi ilikundisha uogope jembe? Hufai kuwa mlinzi wala huwezi kujitegemea kwa kutumia nguvu yako kwa kufanya kazi. Kwangu umejidhalilisha na unaidhalilisha JKT.
 
Nawaambiaga vijana mkiwa machuoni MPANGE VYUMBA kukaa chuoni kunalemaza sana watu hawajui tu, ukilipa kodi tu ukanunua vyakula vya mwezi mzima umemaliza.

wengi wanatoka vyuoni wanarudi kwa baba mdogo, shemeji, mama mdogo, shangazi na wajomba hii ni aibu kabisa has kwa wanaume, wanawake wao watakua wa House girl part 2 ndio maana wanaishigi vizuri tu

Mashemeji ni hatari tena kama ni mwanaume utashangaa unanuiwa tu.
Tulichelewa kujipanga mkuu
 
Back
Top Bottom