youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,254
- 2,909
Binafsi mimi dada yangu aliolewa hapa mji kasoro bahari...
Sasa baada ya kumaliza chuo akaniomba niende kumsaidia kumwangalizia kibanda chake wakati yeye akienda kwenye mishe nyingine.
Sasa tabu kubwa ilikuwa ni vyumba vya kulala ni vichache sana, cha dada na shemeji, cha watoto na cha beki tatu na wageni wengine.
Sasa mimi kutokana na uzoefu wangu wa kupitia jkt nikamwambia sister isiwe tabu mimi ntakuwa nasogeza kochi najiegesha sebuleni.
Sasa ishu ni pale nimerudi nimechoka nataka kulala unakuta bado wapo wamekodoa macho kwenye TV.
Siku nyingine wanaenda kulala utashangaa beki tatu kakomaa na remote mpaka saa saba usiku.
Hii hali huwa inanikera sana, ila ndo hivo naogopa kurudi kijijini kushika jembe
Wale wenzangu na mimi naomba tusaidiane challenge tunazokutana nazo na jinsi ya kuzikwepa.
Nawasilisha.