Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
Nimeuliza kwa sababu huwa mnasema hakuna ubaya wowote kunywa pombe, yaani pombe ni kinywaji kama soda tu ndio maana nikauliza kwa nini uache kunywa kipindi cha kwaresma?Sasa alishindwa kuelewa nini huyo jamaa? hahaha, na kukurekebisha, si napenda bali nilikuwa nakunywa ila nashukuru kabla hata ya kwaresma nilishapiga hatua nzuri tu kuelekea kuacha au kupunguza kwa kiasi kikubwa na kwaresma hii itakuwa ni kukazia tu msimamo.
Sent using Jamii Forums mobile app